Utata wa kauli ya prezidaa

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,720
1,639
WAKUU WA MIKOA wamepewa siku 15 tu wahakikishe hakuna vijana watakao kaa bila kazi.

Kama kijana huna kazi unawekwa ndani.. ukitoka unajikuta huna kazi unarudishwa tena ndani..

Ukitoka unakuta masharti ya kazi uwe hujawahi kufungwa jela. . Unakosa hio kazi alafu unarudishwa tena ndichi..
 
Kazi zipo hasa za kujiajiri,kama vile garage,kutengeneza majiko,bustani,kufukia mawe barabarani,kuosha magari,kufua nguo,kusukuma mikokoteni n.k siyo kupiga kelele tu humu mtafutiwe ajira wakati wengi wenu elimu hamna
 
Mkipata kazi za kuunganishiwa na wajomba zenu huwa mnakuwa na zarau sana
 
Back
Top Bottom