Utata wa jinsia jf umepatikana...!

Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu tunayoyatumia,yawezekana wewe ni mmoja wa wahanga wa kuitwa KE ambapo wewe ni ME na KE kuitwa ME,Mimi binafsi sijakutana na hlo tatzo kutokana na Surname yangu.Basi nimekuja na msamiati mpya kabsa ambao utaondoa utata wa Jinsia pindi unapokomenti thread flan kwa kutumia Neno "BROSI"Likiwa na maana BRO-Brother na SI-Sister.
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni
Ungenesha mfano kwenye komenti ya kubuni jinsi ya kutumia hiyo BROSI na SI.Au pengine sijakuelewa vizuri?
 
Kweli kama unatumia Mobile Vision lazima upate usumbufu, ila kwa sisi tunaotumia Mobile Version haisumbui sana. hamia kwetu...

Dah!Kweli wino hauna mfupa...Pia jaribu kutumia herufi kubwa kila baada ya Nukta.Lakini nimesomeka Bros??
 
mimi Kongosho hadi leo sijui ni ME AU KE na mwingine anasema msugua saga ndio sijui kitu kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom