Utata wa jinsia jf umepatikana...!

Utata wa jinsia jf umepatikana...!

jinsia ya mtu inafahamika.,kama tu unaweza soma maandiko yake vyema na ku ushirikisha ubongo ...

Anaweza fake...lakini shortly anadakwa.

Mimi binafsi... Kongosho alinipa tabu sana pindi nimejiunga JF ...ila mwisho wa siku nikagundua ni msugua GAGA tu..

Msugua gaga ndo Nani?
 
Last edited by a moderator:
jinsia ya mtu inafahamika.,kama tu unaweza soma maandiko yake vyema na ku ushirikisha ubongo ...

Anaweza fake...lakini shortly anadakwa.

Mimi binafsi... Kongosho alinipa tabu sana pindi nimejiunga JF ...ila mwisho wa siku nikagundua ni msugua GAGA tu..

Name calling
 
Last edited by a moderator:
Kwani huwa mnatafuta jinsia au maoni?
 
Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu tunayoyatumia,yawezekana wewe ni mmoja wa wahanga wa kuitwa KE ambapo wewe ni ME na KE kuitwa ME,Mimi binafsi sijakutana na hlo tatzo kutokana na Surname yangu.Basi nimekuja na msamiati mpya kabsa ambao utaondoa utata wa Jinsia pindi unapokomenti thread flan kwa kutumia Neno "BROSI"Likiwa na maana BRO-Brother na SI-Sister.
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni

Kweli kama unatumia Mobile Vision lazima upate usumbufu, ila kwa sisi tunaotumia Mobile Version haisumbui sana. hamia kwetu...
 
bora huo utata uendelee tu kuwepo tuheshimiane!

sometimes unajua inafurahisha sana unapoona pm zinavyotiririka kwako, unatongozwa kwa kudhaniwa ni sex fulani!

hahaaaa!!!
 
kuuondoa Utata wa Jinsia za majina ye2!Mfano wewe Kabanga cjui km ni ME au KE?Ili kuondoa utata natumia BROSI.
Umenipata Brosi?
Faru dume unachekesha, kama huwezi kusoma hata picha huwezi kuangalia...?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom