concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,031
- 668
nimekusoma mkuu BROS
Bado haileti maana yoyote...
Haya ahsante kwa kuumiza kichwa.
Mi nishajizoelea best au mkuu,maisha yanasonga tu.
Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu tunayoyatumia,yawezekana wewe ni mmoja wa wahanga wa kuitwa KE ambapo wewe ni ME na KE kuitwa ME,Mimi binafsi sijakutana na hlo tatzo kutokana na Surname yangu.Basi nimekuja na msamiati mpya kabsa ambao utaondoa utata wa Jinsia pindi unapokomenti thread flan kwa kutumia Neno "BROSI"Likiwa na maana BRO-Brother na SI-Sister.
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni
Avatar yangu imenifanya naonekana mzee kumbe bado ni kachalii tu.
Sijui ni kwamba sijaelewa au nimeelewa sana...
Hivi inawezekana vipi mtu mmoja kuwa Me (Bro) na wakati huo huo kuwa Ke(Si)?
hivi wewe ni me,ke au BROSI?
Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu tunayoyatumia,yawezekana wewe ni mmoja wa wahanga wa kuitwa KE ambapo wewe ni ME na KE kuitwa ME,Mimi binafsi sijakutana na hlo tatzo kutokana na Surname yangu.Basi nimekuja na msamiati mpya kabsa ambao utaondoa utata wa Jinsia pindi unapokomenti thread flan kwa kutumia Neno "BROSI"Likiwa na maana BRO-Brother na SI-Sister.
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni
hivi wewe ni me,ke au BROSI?
Ikitokea mtu akajiunga na ID ya BROSI tutamuitaje?