Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu tunayoyatumia,yawezekana wewe ni mmoja wa wahanga wa kuitwa KE ambapo wewe ni ME na KE kuitwa ME,Mimi binafsi sijakutana na hlo tatzo kutokana na Surname yangu.Basi nimekuja na msamiati mpya kabsa ambao utaondoa utata wa Jinsia pindi unapokomenti thread flan kwa kutumia Neno "BROSI"Likiwa na maana BRO-Brother na SI-Sister.
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni
Sijui ni kwamba sijaelewa au nimeelewa sana...
Hivi inawezekana vipi mtu mmoja kuwa Me (Bro) na wakati huo huo kuwa Ke(Si)?
si bora tu aubganishe kwa kiswahili KE-ME
huo ni msamiati au umetohoa lugha?
kwa hiyo leo kaka inamaanisha me na dada inamaanisha ke?
kama ni hivyo kwa nini usingetumia tu kiswahili ukaunganisha meke/keme? au kada/daka?(rejesta kuzingatiwa)
jinsia ya mtu inafahamika.,kama tu unaweza soma maandiko yake vyema na ku ushirikisha ubongo ...
Anaweza fake...lakini shortly anadakwa.
Mimi binafsi... Kongosho alinipa tabu sana pindi nimejiunga JF ...ila mwisho wa siku nikagundua ni msugua GAGA tu..
Sijui ni kwamba sijaelewa au nimeelewa sana...
Hivi inawezekana vipi mtu mmoja kuwa Me (Bro) na wakati huo huo kuwa Ke(Si)?
hahahahah!Nimekusoma BROSI.
Sijui ni kwamba sijaelewa au nimeelewa sana...
Hivi inawezekana vipi mtu mmoja kuwa Me (Bro) na wakati huo huo kuwa Ke(Si)?
...sasa unavyoniita BROSI ...maana yake bado hujanisoma kama ni BRO ther au SI ster... ??
Au sijaelewa hoja yako.?
aanhaaa...
Mimi pia nimegota hapo!
Sijui ni kwamba sijaelewa au nimeelewa sana...
Hivi inawezekana vipi mtu mmoja kuwa Me (Bro) na wakati huo huo kuwa Ke(Si)?