Utata wa jinsia jf umepatikana...!

Faru dume

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
471
116
Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu tunayoyatumia,yawezekana wewe ni mmoja wa wahanga wa kuitwa KE ambapo wewe ni ME na KE kuitwa ME,Mimi binafsi sijakutana na hlo tatzo kutokana na Surname yangu.Basi nimekuja na msamiati mpya kabsa ambao utaondoa utata wa Jinsia pindi unapokomenti thread flan kwa kutumia Neno "BROSI"Likiwa na maana BRO-Brother na SI-Sister.
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni
 
Haya ahsante kwa kuumiza kichwa.
Mi nishajizoelea best au mkuu,maisha yanasonga tu.
 
Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu tunayoyatumia,yawezekana wewe ni mmoja wa wahanga wa kuitwa KE ambapo wewe ni ME na KE kuitwa ME,Mimi binafsi sijakutana na hlo tatzo kutokana na Surname yangu.Basi nimekuja na msamiati mpya kabsa ambao utaondoa utata wa Jinsia pindi unapokomenti thread flan kwa kutumia Neno "BROSI"Likiwa na maana BRO-Brother na SI-Sister.
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni

Brosi overr
 
huo ni msamiati au umetohoa lugha?
kwa hiyo leo kaka inamaanisha me na dada inamaanisha ke?
kama ni hivyo kwa nini usingetumia tu kiswahili ukaunganisha meke/keme? au kada/daka?(rejesta kuzingatiwa)
 
jinsia ya mtu inafahamika.,kama tu unaweza soma maandiko yake vyema na ku ushirikisha ubongo ...

Anaweza fake...lakini shortly anadakwa.

Mimi binafsi... Kongosho alinipa tabu sana pindi nimejiunga JF ...ila mwisho wa siku nikagundua ni msugua GAGA tu..
 
Last edited by a moderator:
huo ni msamiati au umetohoa lugha?
kwa hiyo leo kaka inamaanisha me na dada inamaanisha ke?
kama ni hivyo kwa nini usingetumia tu kiswahili ukaunganisha meke/keme? au kada/daka?(rejesta kuzingatiwa)

ikiwezekana tutumie,bt Brosi inakamvuto ujue!
 
jinsia ya mtu inafahamika.,kama tu unaweza soma maandiko yake vyema na ku ushirikisha ubongo ...

Anaweza fake...lakini shortly anadakwa.

Mimi binafsi... Kongosho alinipa tabu sana pindi nimejiunga JF ...ila mwisho wa siku nikagundua ni msugua GAGA tu..

hahahahah!Nimekusoma BROSI.
 
Last edited by a moderator:
...sasa unavyoniita BROSI ...maana yake bado hujanisoma kama ni BRO ther au SI ster... ??

Au sijaelewa hoja yako.?

Nilivyoelewa mimi nikua wewe kama si brother (bro) basi utakua sister (si)....sijui kama nimemuelewa vizuri
 
aanhaaa...
Mimi pia nimegota hapo!

ilikuondoa utata kat ya Ke na me nimeona vema kuwe na unique name pindi ukikomenti post ya mwenzio!Kwa mfano wewe ni data kwa jina bt naweza nikakuita bidada kumbe wewe ni bikaka oooh sory Brother kaka...Umenixoma Brosi!
 
Sijui ni kwamba sijaelewa au nimeelewa sana...

Hivi inawezekana vipi mtu mmoja kuwa Me (Bro) na wakati huo huo kuwa Ke(Si)?

apewe hongera zake alyeanzisha matumizi ya neno mkuu alifikiria sana juu ya nicks..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom