Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Polen wana jamvi!Kwa kweli nimekua mpitiaji mzuri sana wa thread mbali mbali za jukwaa hili na kusoma baadhi ya komenti,kumekua na tatizo la kutambua jinsia za wenzetu kutokana na majina yetu tunayoyatumia,yawezekana wewe ni mmoja wa wahanga wa kuitwa KE ambapo wewe ni ME na KE kuitwa ME,Mimi binafsi sijakutana na hlo tatzo kutokana na Surname yangu.Basi nimekuja na msamiati mpya kabsa ambao utaondoa utata wa Jinsia pindi unapokomenti thread flan kwa kutumia Neno "BROSI"Likiwa na maana BRO-Brother na SI-Sister.
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni
NB:WAHANGA WENGI NI WATUMIAJI WA MOBILE VISION.
Ni yangu Maoni tu.
Asanteni