corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,664
- 3,394
Ha ha ha umenifanya nicheke kwa nguvuWasabato wasumbufu sana, usijelogwa kutaka kuoa mwanamke msabato..
Ha ha ha umenifanya nicheke kwa nguvuWasabato wasumbufu sana, usijelogwa kutaka kuoa mwanamke msabato..
Mpe ushauri nini afanye tafadhali nduguukisikia mwanume suruali ndio huyo jamaa wako! insu ndogo kama hiyo nayo anaomba ushauri
Asante, ila sidhani kama na wewe una fahamu vifungu vyote katika bibliaHaulijui fungu la usifunge nira wasioamini???
Pole!
Fuatilia kisa cha Abraham kumtafutia mwanae mke ambaye alikuwa Rebeka process ilikuwaje
Samson alionywaje asifunge nila na watu wa mataifa.
Nenda ufunue mafungu usome, acha uvivu.
Kama ndio hivyo, basi hii ni hatarikwa msabato hatoboi, msabato ahame sijawahi ona. kuna jamaa yangu alidanganya ahamie usabatoni watampa uchungaji, na ndugu wa mke watamuingiza kwenye system ya watu wasiojulikana.
Mpaka leo tunaongea naona(ga) dish lake limeyumba kidogo kutokana na ahadi alizopewa haijatimia hata moja ila anamini si muda anakuwa mchungaji na mtu wa suti nyeusi
Asante kwa ushauriKatika madhehebu yote,mwanamke msabato ni Shida.Haha wanaume .so, ni vizuri wakaoana wasabato kwa wsabato
Aisee kama ndio hivyo, basi hii ni shida sio kidogoBaba ndiyo kichwa cha nyumba
1.Enyi wanawake watiin waume zenu, 2 Enyi waume wapendeni wake zenu
Msabato ni ishu.Kama huyo jamaa hataki kwenda usabato basi aachane na huyo mwanamke .maana msabato kuhama usabato ni sawa na ngamia kuingia tundu la sindano
Asante kwa ushuhuda, pia na ushauri mzuriHapa nyumbani ninaishi na msabato, ni watu wabishi sana kwa asili, hii sumu sijui wanalishwa huko kanisani kwao. Huwa wanaamini wao tu ndio wenye tiketi ya Mbinguni, hakuna msabato utakaemkuta sio mbishi. Huyo binti atamsumbua sana huyo kijana, anashindwa kuelewa mapenzi yako beyond riligious blvs. Huyo kijana afanye maamuzi ila suala la kumconvice huyo binti sio rahisi. Ndani ya ndoa hakutakuwa na utulivu otherwise wamekubaliana kukaa wote upande mmoja. Kama ataendelea kuwa mbishi mwambia amtie pembeni, wadada wazuri na wenye imani thabiti wapo hata huko KKKT kwake.
Asante kwa ushauriAisee huyo kijana wako asije jiloga akaoa msabato, wasabato wanakuwaga na misimamo mikali sana ambayo haifai kwa ndoa! Hatafaidi lolote kwenye ndoa hiyo na mke msabato....
Kwa Sababu hatuelewani kwa hilo suala la wapi tufunge ndoaKwanini umeamua ku sitisha ndugu?
Kwa mafunzo niliyopata kwa imani yangu ya wasabato, nayajua mafungu mengi na kuyachambuaAsante, ila sidhani kama na wewe una fahamu vifungu vyote katika biblia
Umenikumbusha kile kisa wale wasabato walikaa pale Julias Nyerere airport wiki nzima wakitaka wasafiri bila passport wala nauli.nkikumbuka walivyotaka kusafir bila visa hata passport sijashangaa sana
Sio Wakristo....Una maana wasabato sio wakristo?
Wasabato waoane wenyewe kwa wenyewe!Kwa kukushauri tu, mwambie atafute mtu wa KKKT au dhehebu lolote la Kikristo, Ndoa na Msabato ni pasua kichwa, Msabato hachangamani na Mkristo yoyote, nimeshuhudia mateso makubwa ya ndoa a Msabato na Mkristo (Catholic, KKKT, Mlokole) Kuoa ni mara moja tu na ukikosea ni kila kitu
Asante kwa ushauriMwambie mwanao atafute mlutheri mwenzake wasabato wanapendaga kujihesabia haki sana! Yaani hiyo ndoa ikifungwa huko mbeleni atapata shida mno.
haaaaaa sasa unazan kwa ubishi ule ndo ndoa itafungika broUmenikumbusha kile kisa wale wasabato walikaa pale Julias Nyerere airport wiki nzima wakitaka wasafiri bila passport wala nauli.
Halafu walikuwa wanajiita wasabato masalia, sijui hata walikuwa wana maana gani kujiita wasabato masalia?