Utata wa dhehebu lako katika kufunga ndoa

Utata wa dhehebu lako katika kufunga ndoa

Nakumbuka kuna siku mtu aliniambia njoo nikupeleke kwenye dini ya kweli (ndoa) ikiwa yeye ni msabato na mie ni mlutheri .... Nilimwangalia nikamuacha mpaka leo sina hamu nae sipendi watu wanaodiss dhehebu la wenzao
 
Sisi sio kama mafarisayo
Ungefafanua maana ya ng'mbe kuanguka Shimoni. Kuitunza sabato ni Amri si ombi.
Wasabato tupo wengi sana. Ni tamaa tu zinapeleka watu nje.
Hata Samson alioa nje, alichokutana nacho nawe unakijua
Tatizo lenu mnabagua ila Mungu habagui...na mibaraka ya ndoa Mungu anatoa kwa wote na mbinguni wataenda watu wa aina zote
 
sasa wote ni wakristo shida iko wapi?Manaswara Bhana wananishangaza sana.Ahmadia na Sunny wakitaka kufunga ndoa utaratibu ni ule ule nyie mbona wasumbufu hivi?mwambie afunge ndoa ya serikali.Afu mahusiano yaishe hawajapigana pumbu?nani aoe mlupo huo akiuacha?afu mnatafuta bikra wakati mnaziharibu wenyewe.Umekaa na mtu muda wote mnagegedana then muachane kwa dini?mlianza ya nini mahusiano?Waambie wakivunja mahusiano yao na waligegedana wasithubutu kutafuta wenza wengine,ikishindkana watavunja tena na kuacha shida kwa waoaji.
 
Yaani mwanaume anapelekwa pelekwa tu na yeye anakubali? Muambie huyo rafiki yako sijui ndugu yako akikubali kufunga hiyo ndoa kwa wasabato itakua ndiyo mwanzo wa kupelekwa pelekwa hadi ndani ya ndoa
 
Tatizo lenu mnabagua ila Mungu habagui...na mibaraka ya ndoa Mungu anatoa kwa wote na mbinguni wataenda watu wa aina zote
Mibaraka Ndio
La msingi tuwe imani Moja.
Kiukwel ni her nisioe ila niwe uhuru wa kusali kuliko kuoa mwanamke a siye kuwa wa imani yang
 
Mwanamke anatakiwa afunge ndoa kwenye kanisa analosali mchumba wake,,,huu utaratibu wa mwanamke kutaka mwanaume akafunge ndoa kwenye dhehebu lake ya wapi hiyo? Nani mwoaji na nani muolewaji? Mwanamke aache ubabe awe mpole akubaliane na mumewe mtarajiwa akafunge ndoa kkkt
 
Leo ni mara ya kwanza kuingia kwenye hili jukwaa wadau, nategemea ushauri wa maana juu ya hili jambo.

Iko hivi kuna kijana wangu anaomba ushauri kuhusu tatizo linalomsumbua yeye ni mkristo wa dhehebu la KKKT na ana mchumba wake ni msabato, sasa mda unazidi kwenda kijana anataka kufunga ndoa.

Kijana akatoa wazo kwa binti kwamba ndoa inatakiwa ifungwe kanisani KKKT na baada ya ndoa binti ataendelea na dhehebu la kisabato.

Sasa binti amegoma kabisa, binti nae kasema hawezi kufunga ndoa KKKT anataka ndoa ifungwe kanisani sabato na baada ya ndoa kamruhusu kijana aendelee na dhehebu la KKKT.
Sasa ubishano upo kwenye wapi ndoa ifungwe kati ya Kanisani KKKT au sabato, na imefika hatua kwamba endapo mmoja atakataa kukubali mawazo ya mwenzie wanasema bora mahusiano yaishe.

Sasa wadau mnaushauri gani ili kuweza kuwanusuru huyu kijana pamoja na huyo mchumba wake.
Nimewashauri kuhusu ndoa ya kiserikali, ila wote hawako tayari kwa ndoa ya kufungwa serikalini.

Je mnamshauri nini huyu kijana na mchumba wake ili waweze kufanikisha mipango yao ya kufunga ndoa pamoja?
Mrejesho, mkuu vipi huko kimetokea Nini?
 
Mrejesho, mkuu vipi huko kimetokea Nini?
Watakua walitemana hao.. Mimi aliwahi kuwepo m TAG mtoto wa Pastor akaniambia lazima uhamie nikamu intertain alainike ila akagoma nikapiga chini faster nikaja nikapata mtu anaenisikiliza kwa kila kitu alikua TAG akahamia kkkt nikaamua kutulia nae... Nilijiambia siwez endeshwa na mwanamke maisha yangu yote
 
Leo ni mara ya kwanza kuingia kwenye hili jukwaa wadau, nategemea ushauri wa maana juu ya hili jambo.

Iko hivi kuna kijana wangu anaomba ushauri kuhusu tatizo linalomsumbua yeye ni mkristo wa dhehebu la KKKT na ana mchumba wake ni msabato, sasa mda unazidi kwenda kijana anataka kufunga ndoa.

Kijana akatoa wazo kwa binti kwamba ndoa inatakiwa ifungwe kanisani KKKT na baada ya ndoa binti ataendelea na dhehebu la kisabato.

Sasa binti amegoma kabisa, binti nae kasema hawezi kufunga ndoa KKKT anataka ndoa ifungwe kanisani sabato na baada ya ndoa kamruhusu kijana aendelee na dhehebu la KKKT. Sasa ubishano upo kwenye wapi ndoa ifungwe kati ya Kanisani KKKT au sabato, na imefika hatua kwamba endapo mmoja atakataa kukubali mawazo ya mwenzie wanasema bora mahusiano yaishe.

Sasa wadau mnaushauri gani ili kuweza kuwanusuru huyu kijana pamoja na huyo mchumba wake.
Nimewashauri kuhusu ndoa ya kiserikali, ila wote hawako tayari kwa ndoa ya kufungwa serikalini.

Je, mnamshauri nini huyu kijana na mchumba wake ili waweze kufanikisha mipango yao ya kufunga ndoa pamoja?
Ilishawahi mkuta ndugu yangu hii duu wasabato wanamisimamo mikali mkuu! Lakini br aliamua kufanya maamuzi ya kiume ya kuvunja mahusiano na kuangalia mambo mengine.
 
Unajua ishu ni kwamba nahitaji kujua usumbufu wa wasabato ili nipate picha kamili?
Usumbufu wao si ndo huo we unaona ni jambo la kawaida kwa mwanamke kushikilia msimamo wa kutaka mwanaume akafungie ndoa kwenye kanisa la mwanamke!

Wanamisimamo ya ajabu sana

  • wanaweza vunja uchumba kisa dhehebu
  • wanaweza kuacha kazi kisa misimamo ya kidini.
  • wanaweza kuacha Masomo chuoni kisa pepa linapigwa j mosi
  • Anaweza Acha dili la pesa mingi kisa dili limeangukia j most.
Nk

Nashauri jamaa apige chini huyo mchumba asijishushe sana mapenzi sio utumwa, atapata atakaye msikiliza na kumuheshimu. "ENYI WANAWAKE WATIINI WAUME ZENU"
 
Back
Top Bottom