Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,903
- 28,047
Umemaliza...whats the problem kufungia ndoa kanisani kwa mwenzio wote mkiwa wakristo??
Dini zenyewe zmekuja na meli afu mtu ana complicate htr
Mkuu Wasabato siyo Wakristo
Umemaliza...whats the problem kufungia ndoa kanisani kwa mwenzio wote mkiwa wakristo??
Dini zenyewe zmekuja na meli afu mtu ana complicate htr
Mwambie Kijana wako Kama mwanamke anamuamrisha Kabla hajaolewa Mke hamna hapo....MUME ndio muamuzi labda Kama huyo Mke ndio Kaenda kumchumbia jamaaLeo ni mara ya kwanza kuingia kwenye hili jukwaa wadau, nategemea ushauri wa maana juu ya hili jambo.
Iko hivi kuna kijana wangu anaomba ushauri kuhusu tatizo linalomsumbua yeye ni mkristo wa dhehebu la KKKT na ana mchumba wake ni msabato, sasa mda unazidi kwenda kijana anataka kufunga ndoa.
Kijana akatoa wazo kwa binti kwamba ndoa inatakiwa ifungwe kanisani KKKT na baada ya ndoa binti ataendelea na dhehebu la kisabato.
Sasa binti amegoma kabisa, binti nae kasema hawezi kufunga ndoa KKKT anataka ndoa ifungwe kanisani sabato na baada ya ndoa kamruhusu kijana aendelee na dhehebu la KKKT.
Sasa ubishano upo kwenye wapi ndoa ifungwe kati ya Kanisani KKKT au sabato, na imefika hatua kwamba endapo mmoja atakataa kukubali mawazo ya mwenzie wanasema bora mahusiano yaishe.
Sasa wadau mnaushauri gani ili kuweza kuwanusuru huyu kijana pamoja na huyo mchumba wake.
Nimewashauri kuhusu ndoa ya kiserikali, ila wote hawako tayari kwa ndoa ya kufungwa serikalini.
Je mnamshauri nini huyu kijana na mchumba wake ili waweze kufanikisha mipango yao ya kufunga ndoa pamoja?
Acheni kuwa na mawazo finyu. Dini haimpeleki mtu mbinguni.Mimi ni msabato nimepata mkkt
Nilitaka tufunge ndoa July next year binti hataki Sababu anataka tukafungie kwa walokole. Mimi sipo ty r,
Mwambie tubadilishane tu, Mimi nifunge ndoa na msabato mwenzangu.
Kila mmoja ana free willAcheni kuwa na mawazo finyu. Dini haimpeleki mtu mbinguni.
Matendo yako ndio kilakitu. So usipate shida mahala pa kufungia ndoa au Kpmg as pana uwepo wa mungu
Kila mmoja ana free will
Ana imani yake
Imani zinatofautiana kama wew unavyotofautiana na baba ako
Hivyo punguza hisia juu ya mawazo ya wengine as long hayakuathiri moja kwa moja yaache ili dunia iwe salama zaidi.
mkuu dini sio swala la kutenganisha upendoDuuu hii inafanana na mshikaji wangu in short kama vile umemuongelea yeye. Ana mahusiano ya muda mrefu na binti wa kisabato tena muimba kwaya halafu jamaa Mkkkt. Jamaa wakati wakutaka kuvuta jumla ikawa noma akaamua kumjaza mimba ili walegeze msimamo lkn wapi. Hadi sasa wanavutana sijui ni mpaka lini.Leo ni mara ya kwanza kuingia kwenye hili jukwaa wadau, nategemea ushauri wa maana juu ya hili jambo.
Iko hivi kuna kijana wangu anaomba ushauri kuhusu tatizo linalomsumbua yeye ni mkristo wa dhehebu la KKKT na ana mchumba wake ni msabato, sasa mda unazidi kwenda kijana anataka kufunga ndoa.
Kijana akatoa wazo kwa binti kwamba ndoa inatakiwa ifungwe kanisani KKKT na baada ya ndoa binti ataendelea na dhehebu la kisabato.
Sasa binti amegoma kabisa, binti nae kasema hawezi kufunga ndoa KKKT anataka ndoa ifungwe kanisani sabato na baada ya ndoa kamruhusu kijana aendelee na dhehebu la KKKT.
Sasa ubishano upo kwenye wapi ndoa ifungwe kati ya Kanisani KKKT au sabato, na imefika hatua kwamba endapo mmoja atakataa kukubali mawazo ya mwenzie wanasema bora mahusiano yaishe.
Sasa wadau mnaushauri gani ili kuweza kuwanusuru huyu kijana pamoja na huyo mchumba wake.
Nimewashauri kuhusu ndoa ya kiserikali, ila wote hawako tayari kwa ndoa ya kufungwa serikalini.
Je mnamshauri nini huyu kijana na mchumba wake ili waweze kufanikisha mipango yao ya kufunga ndoa pamoja?
Asante kwa ushauri nduguKwa kawaida ndoa hufungwa kanisani kwa kijana wa kiume, ila katika hili km wasipokubalina ktk hili ni dalili sio tu wao watapata shida ila watawachanganya hata watoto wao, ikiwa MUNGU atawabarikia na uzao
Ina maana wasabato ndivyo wanavyojiona wao ni bora?Imani ya kuwa wewe ni bora kuliko wenzako ni ujinga uliopitiliza
Asante kwa ushauri, ila kama ni kweli basi hili ni tatizo kwa wasabatoWasabato ni wasumbufu na ukipata mwanamke msabato lazma akomae uhamie sabato lasivyo huwez mpata.nikama wamelishwa imani kali sanaa.Yote katka yote mwambie jamaa achane nae atafute wa dhehebu lake kwani asipofanya hivyo ananunua ugomvi na mvurugano wa familia yao hasa watoto watakao zaliwa."wanawake wasabato=pasua kichwa"
Mdau ishu ni kwamba wanakuomba ushauri kabla hawajaziniHao wazinifu waelewane tu kama walivyotaka kuanza uzinifu wao
Una maana wasabato sio wakristo?And I mean...
We tangu lini Mkristo akaoa ambaye si Mkristo..??
Mdau kumbuka imani ya dini ndio msingi wa kila kitu hasa kwa waamini MunguKuna mijitu ya ajabu sana hapa duniani. Mwishowasiku mwanaume ata ghairi kuwowa.
Yaani dini ndo mshindwe kuwa pamoja. Binti apimwe akili kwa kweli
Una maana gani?Mkuu Wasabato siyo Wakristo
Hapo hamna upendo![]()
![]()
![]()
mkuu dini sio swala la kutenganisha upendo
Sio Wasabato tu. Iwe ni KKKT, Anglikana,Moraviani, TAG nk ukiona wewe ni bora ni mjinga uliyepitilizaIna maana wasabato ndivyo wanavyojiona wao ni bora?