Utata wa dhehebu lako katika kufunga ndoa

Utata wa dhehebu lako katika kufunga ndoa

Mimi ni msabato nimepata mkkt
Nilitaka tufunge ndoa July next year binti hataki Sababu anataka tukafungie kwa walokole. Mimi sipo ty r,
Mwambie tubadilishane tu, Mimi nifunge ndoa na msabato mwenzangu.
Asante kwa wazo, ila sidhani kama inawezekana kubadilishana na upendo pia
 
Y aani sisi wasabato
Mtu yeyot e a siye msabato ni asiyeamini.
Biblia inatuonya kufunga nira na wasioamini wakiwamo kkkt
Rc na wato to wake.
Asante kwa mchango wako msabato,
Je unaweza ukaniwekea hicho kifungu katika biblia?
 
Asante kwa mchango wako msabato,
Je unaweza ukaniwekea hicho kifungu katika biblia?
Haulijui fungu la usifunge nira wasioamini???
Pole!
Fuatilia kisa cha Abraham kumtafutia mwanae mke ambaye alikuwa Rebeka process ilikuwaje
Samson alionywaje asifunge nila na watu wa mataifa.
Nenda ufunue mafungu usome, acha uvivu.
 
kwa msabato hatoboi, msabato ahame sijawahi ona. kuna jamaa yangu alidanganya ahamie usabatoni watampa uchungaji, na ndugu wa mke watamuingiza kwenye system ya watu wasiojulikana.

Mpaka leo tunaongea naona(ga) dish lake limeyumba kidogo kutokana na ahadi alizopewa haijatimia hata moja ila anamini si muda anakuwa mchungaji na mtu wa suti nyeusi
 
Duuu hii inafanana na mshikaji wangu in short kama vile umemuongelea yeye. Ana mahusiano ya muda mrefu na binti wa kisabato tena muimba kwaya halafu jamaa Mkkkt. Jamaa wakati wakutaka kuvuta jumla ikawa noma akaamua kumjaza mimba ili walegeze msimamo lkn wapi. Hadi sasa wanavutana sijui ni mpaka lini.
Yani hii ishu ya wasabato na madhehebu mengine kuoana ni changamoto sana.
Swali langu pia kwanini wakitaka kuoana kati ya RC, KKKT, TAG, EAGT au Pentekoste huwa hakuna shida.
Shida ni kwa wasabato tu?
 
Katika madhehebu yote,mwanamke msabato ni Shida.Haha wanaume .so, ni vizuri wakaoana wasabato kwa wsabato
 
Baba ndiyo kichwa cha nyumba

1.Enyi wanawake watiin waume zenu, 2 Enyi waume wapendeni wake zenu

Msabato ni ishu.Kama huyo jamaa hataki kwenda usabato basi aachane na huyo mwanamke .maana msabato kuhama usabato ni sawa na ngamia kuingia tundu la sindano
 
Kama mwanamke kashindwa kumfuata mwanaume na kumsikiliza. Ni dalili tosha kuwa mwanamke kama huyo akimuoa atataka maamuzi yake yafuatwe na mmeo. Ushauri amuache mapema maana dalili ya ubabe imeanza kujitokeza. Asipojiadhari mapema ndoa hiyo ataijutia mwanaume. Na ni wazi mwanamke hajampenda mwanaume sawasawa/kutoka moyoni hivyo bora kijana Wa kiume akachanja mbuga mapema. Wanawake wapo wengi sana Wa kuoa si yeye peke yake ya nini ajitese na misimamo ya mwanamke.
Asante kwa ushauri
 
Elimu yako haijakusaidia mdau. Samahani kwa kusema ivo kwanza.
Upo kwenye utumwa wa kifikra emancipate yourself from mental slavery.
Haya madhehebu ya dini uliyoletewa na mkoloni ni mfumo tuu ulioandaliwa na some elite group of people "divide and rule" hutumuka ata kwenye siasa.
Ukimpenda mtu OA dini ipo kwenye akili haiusiani na tabia ya mtu. Njoo pm nikusaidie zaidi
Asante kwa ushauri, nitafikisha ujumbe kwa mhusika
 
Hapa nyumbani ninaishi na msabato, ni watu wabishi sana kwa asili, hii sumu sijui wanalishwa huko kanisani kwao. Huwa wanaamini wao tu ndio wenye tiketi ya Mbinguni, hakuna msabato utakaemkuta sio mbishi. Huyo binti atamsumbua sana huyo kijana, anashindwa kuelewa mapenzi yako beyond riligious blvs. Huyo kijana afanye maamuzi ila suala la kumconvice huyo binti sio rahisi. Ndani ya ndoa hakutakuwa na utulivu otherwise wamekubaliana kukaa wote upande mmoja. Kama ataendelea kuwa mbishi mwambia amtie pembeni, wadada wazuri na wenye imani thabiti wapo hata huko KKKT kwake.
 
Aisee huyo kijana wako asije jiloga akaoa msabato, wasabato wanakuwaga na misimamo mikali sana ambayo haifai kwa ndoa! Hatafaidi lolote kwenye ndoa hiyo na mke msabato....
 
Back
Top Bottom