Utata: Uvamizi wa clouds FM

Utata: Uvamizi wa clouds FM

Vyeti ni issue inayojitegemea ambayo Ikulu imekinga kifua na Mgongo.
weka vyeti mezani ili mzizi wa fitna ukatwe.

Mkaanga Ubuyu wa vyeti ni Mtukufu Rais mwenyewe kwa hiyo ni lazima autafune

Mi sitetei alichofanya ila kama watu wanataka vyeti ili wajiridhishe kwa nin na video wasitoe tu yote kama narudia tena kAMA IPO. Cheti yeye anatuzunusha basi tulicho nacho tukiweka waz mwanzo mwisho nkimaanisha hyo video
 
Upo sahihi kabisa. Suala la video kuonyesha mtu akiwa anaingia na kutoka bila purukushani au majibizano yoyote inatia shaka sana. Kimsingi Ruge anapata kiburi cha kuongea kwa sababu ile ambush ili abort. Lile jumba huwa usiku linageuka kuwa ni genge la kugawa ngada kwa wasanii na usiku ule ni bahati tu iliwakuta. Sasa kwa kuwa watu wana negative attitude na RC Mh. Paul C. Makonda, basi wala hawaoni juhudi zake za kutenda kazi. Akili za wengi zimeshikwa na Muuza ngada Gwajima na marehemu mtarajiwa kahaba Mange. Chapa kazi RC wetu, Mungu atakulinda na hila za vibaraka zitashindwa. Viva Makonda Viva.
Ivi unawezaj kumsem mwenzio ni marehm ilihal na ww pua yako inaangalia chini?? jitafakari mkuu ikibid ukatubu kabisa kwa ulichokisema na Mungu akusameh bure!!!
 
Usimsahau babu tale nae atoe ushahidi.alijuaje kuwa makonda anajua walipo akina roma
 
Wakuwekee wewe clip yenye ushahidi wote. Wewe ni mahakama?
Swali zuri mkuu,,, akiwekew hizo clip atafanya nn yy ilihali waliovamiwa hawajaenda mahakamn coz hizo clip zitaonekan if walalmikaj wakiend mahakamn na izo clips ndio itakua part ya ushahidi wao ,,sas mtoa mada asem km yy nd jaji au ni mke wa jaji ili tumuelew anazihitaj za nin
 
Sidhani kama kuna mwenye video inayooesha RC akifanya fujo, zaidi ya vile viclip vinavoonyesha akiingia na kutoka, sasa kwa RC ambaye amezoea kushinda clouds why asiingie na walinzi wake wakati ni jamaa yao! Inahitajika CCTV video zikionyesha RC anafanya fujo au walinzi wakilazimisha kuingia

Ila wale walinzi wake wanaonekana wanaingia peacefully kbs, halafu maelezo yanakuja kuwa kavamia kituo cha habari!
Unless inakuja video ionyeshayo Makonda akiingia kwa nguvu clouds otherwise aliingia kama anavoingia siku zote kituo hicho

Na hii inamaanisha Ruge na RC wametofautiana maslahi tu, au kwa kifupi tuseme Ruge amepata maslahi makubwa kuliko RC ndo maana wakapishana
Mi nadhani CCTV kamera zipo kote watuwekee video kuanzia anawalazimisha walinxi hadi fujo studio!
Kifupi huu uzi utaonekana ni utumbo kwa sababu rc kutaja maslahi ya wala ngada;
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.

Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.

Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.

Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.

Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.

Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.
mkuu, ungekuwa umepitia jeshi ungeelewa kwa nini unachotaka kifanyike si sahihi kufanyika sasa.
 
.
Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.
Kunamtu yoyote kamuelewa huyu anitafsirie maana anaongea kiingereza kigumumu kweli.
 
CCTV ianrekodi tukio zima automatically, na ushahidi wa tukio zima wanalo why wanatoa ushahidi nusunusu

unless kuna agenda ya siri, lakini ushahidi ule haujitoshelezi kumtuhum wala kumfunga RC

wanao ushahidi mzima, why wametoa kakipande kaduuchu kabisa
Hivi kesi tayari imeanzwa kusikilizwa?
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.

Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.

Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.

Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.

Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.

Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.

Mwambieni anayewapa pesa kwamba hizi mbinu zake na article zisizo na mashiko ndo zinathibitisha kabisa kwamba hana vyeti. Watu wenye vyeti wapo calculated sana.
 
Uzi wako umekamata namba moja katika nyuzi mbovu asubuhi ya leo
 
Nimeamini maneno ya wahenga........"every "BODY" has its price!

You "people, the more you come up with these topics of trying to make the Victims of your "stupid actions" look Irrelevant, the more you open up one more door closer to the reality we (concerned citizens of Tanzania)have been searching for in Vain!

Ipo siku.......
Kwa hili kiswahili ni muhimu wachache wanaojua kiingereza mjomba lakini ni maoni yangu tu
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.

Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.

Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.

Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.

Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.

Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.
Hata kama umetumwa kaka yangu tumia na akili yako co ku-paste akili ya waliokutuma yote.

Kama hoja yko ni mambo yawe na ushahidi, Je wewe una USHAHIDI gan kuwa RUGE alikuwa na maslahi na RC na sasa amepata maslahi zaidi pengine??? Kwa kuandika hapa tu ndo ushahidi wako.

Je wapi (section) ya sheria ya ushahidi (Cap 6) inasema PART OF VIDEO evidence is INADMISSIBLE unless the full???.

Je waliokutuma ndo wamekwambia sheria ya ushahidi (supra) kuwa ushahidi wa video ndo mkubwa kuliko wowote ule??.

Kawambie kuwa JF members wamekataaaaa!! na kwamba WAMEONYA kuwa Tanzania kwa mjibu wa sheria ya ushahidi (supra) na maamuzi ya mahakana za juu USHAHIDI mkubwa ni DIRECT EVIDENCE (perceived by sense organs) kwa case hii yaan ushahidi wa Kuona!. Huo wa computer devices hutumika hasa kwenye masuala ya kibiashara (eg bankers). So Vijana wa SHILAWADU kwa sababu wana ushahidi wa kuona (direct evidence) ndo mkubwa kuliko. Wee unataka kugeuza CLIP ile kuwa filamu/move ukiwa umepumzika so inakuboa tu pale inapokuwa fupi.
 
CCTV ianrekodi tukio zima automatically, na ushahidi wa tukio zima wanalo why wanatoa ushahidi nusunusu

unless kuna agenda ya siri, lakini ushahidi ule haujitoshelezi kumtuhum wala kumfunga RC

wanao ushahidi mzima, why wametoa kakipande kaduuchu kabisa
Je kama camera ipo reception tu?
 
Ni vizuri wakati mwingine uwe ni msomaji tu kuliko kuandika thread za aina hii.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.

Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.

Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.

Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.

Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.

Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.
Mkuu unajisumbua sio makonda tena Jana bungeni nasikia kuna mtu amesema waliovamia ni usalama wa taifa
 
Sidhani kama kuna mwenye video inayooesha RC akifanya fujo, zaidi ya vile viclip vinavoonyesha akiingia na kutoka, sasa kwa RC ambaye amezoea kushinda clouds why asiingie na walinzi wake wakati ni jamaa yao! Inahitajika CCTV video zikionyesha RC anafanya fujo au walinzi wakilazimisha kuingia

Ila wale walinzi wake wanaonekana wanaingia peacefully kbs, halafu maelezo yanakuja kuwa kavamia kituo cha habari!
Unless inakuja video ionyeshayo Makonda akiingia kwa nguvu clouds otherwise aliingia kama anavoingia siku zote kituo hicho

Na hii inamaanisha Ruge na RC wametofautiana maslahi tu, au kwa kifupi tuseme Ruge amepata maslahi makubwa kuliko RC ndo maana wakapishana
Hii habari kama ya kumuosha mtu uovu, lkn ujue uovu wa mtu muovu utazihirika.
 
Back
Top Bottom