Utata: Uvamizi wa clouds FM

Utata: Uvamizi wa clouds FM

Makonda alitaka kumuumbua Askofu Gwajima kuwa ametelekeza mtoto, Clouds wakaona ni ujinga mtupu kupeleka story bila Ku balance, wakampuuza
 
Upo sahihi kabisa. Suala la video kuonyesha mtu akiwa anaingia na kutoka bila purukushani au majibizano yoyote inatia shaka sana. Kimsingi Ruge anapata kiburi cha kuongea kwa sababu ile ambush ili abort. Lile jumba huwa usiku linageuka kuwa ni genge la kugawa ngada kwa wasanii na usiku ule ni bahati tu iliwakuta. Sasa kwa kuwa watu wana negative attitude na RC Mh. Paul C. Makonda, basi wala hawaoni juhudi zake za kutenda kazi.. Chapa kazi RC wetu, Mungu atakulinda na hila za vibaraka zitashindwa. Viva Makonda Viva.
Ishu si kuingia na kutoka. Kwenye ofic za clouds anaingiaje na askari tena wanasilaha... kulikuwa kuna jambazi huko? Je kila siku alivyokuwa akienda clouds alikuwa akienda na askari wenye silaha?
 
Makonda alitaka kumuumbua Askofu Gwajima kuwa ametelekeza mtoto, Clouds wakaona ni ujinga mtupu kupeleka story bila Ku balance, wakampuuza
Ile video ni ya kutengenezwa.. alaf alie tunga uwongo ule ni professional looser.
Hata kama unataka kutengeneza tukio sio kwa stype ile. Tule dada wa watu anaongea lakin anajishtukia, hata simple acting ameshindwa.

my take is rc hamuwez gwajima.. ni habari ingine.
 
Wapambe wa Makonda mnahangaika sana. Hata kama alikuwa akienda Clouds kila mara, alikuwa akienda na msafara wa wanajeshi na bunduki? Halafu usiju ule alikwenda kutoa maelekezo ya Kipindi kama nani? Mhariri? Au ukishakuwa Mkuu wa mkoa ndio una mamlaka ya kupangia chombo cha habari jambo la kutangaza?
Halafu kama alikuwa na nia njema, kwanini hakumjulisha Ruge kuwa anakwenda ofisini kwake?
Kwa kifupi huo ni uvamizi.
Hili swali wameshindwa kulijibu kabisaa.

Yes alikuwa anaenda clouds mara kwa mara. Lakin je alikuwa anaenda na askari tena wenye silaha..? Je huo ndio utaratibu wa kuingia ofice za watu?
 
Mtoa mada jaribu kuleta nyingne hapo tutakuelewa,yaweza kuwa na ww ni wale wa vijana wa Lumumba
 
Back
Top Bottom