Utata: Uvamizi wa clouds FM

Hahaahaaa,
yaan mkiishiwaga cha kuongea mnakuwaga wadogo kinoma,
Staki kuamini kama wewe ni binadamu kama sisi kama ungekuwa basi usingekuwa na mawazo mgando kama uliyonayo,

kwa ufikirio wako yule aliyeonyekana kwenye ile clip ya cctv hakuwa Makonda alikuwa ni mtu kavalishwa sura ya Makonda c eti?

Hongera kwa akili finyu kama 0.....
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,

Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin kwao.

Kila mtu anayemjua Ruge anamjua ni mtu wa maslahi, ni mwepesi sana kumgeuka yoyote kunapo maslahi. Hili linaweza elezewa vzr na Mr II (Sugu) kuliko yoyote. Asingeweza kuacha maslahi makubwa aliyenayo kwa RC huyo na kugombana naye unless anamaslahi mengine makubwa zaidi, na kwa maana hiyo maneno yake siyo ya kuzingatiwa saana labda kama yana ushahidi mwingine wa ziada.

Kwa hilo, ingekuwa vyema Clouds Media wakatoa ushahidi huo wa ziada kwa kuonyesha mkanda mzima ukionyesha uvamizi ule ili ndugu RC ashtakiwe kwa hilo na kwa sababu ushahidi wa video ni mkubwa zaidi ya ushahidi mwingine wowote ndugu makonda hawezi kukwepa kamwe huko mahakan au kokote ushahidi utakapoonyeshwa.

Swali la kujiuliza why haujatolewa ushahidi woote huo either kwenye TV yao au mahakan na badala yake zimeanza kuwekwa hadithi moja baada ya nyingine (vyeti,uvamizi,utakaji....) mpaka mwishowe verse zitaisha na hakuna lililobadilika.

Naamini haki ya RC na Clouds Media ziko kwenye hiyo video. Clouds Media watuweke wazi ili tumjue mkuu wa mkoa vzr na tumhukum kwa hilo na si maneno yao.

Kwa video hiyo hatutahitaji vyeti wala tuhuma za yeye kumteka ROMA, ila bila video hiyo itakuwa ni hadithi tu kama hadithi nyingine zozote, baada ya utamu na uwongo wa hadithi kila mtu anakung'uta matako yake na kwenda kukojoa then kulala kesho tukisubiria hadithi nyingine.
Labda nikuulize kwanza mtoa mada una marindaa?
 
Staki kuamini kama wewe ni binadamu kama sisi kama ungekuwa basi usingekuwa na mawazo mgando kama uliyonayo,

kwa ufikirio wako yule aliyeonyekana kwenye ile clip ya cctv hakuwa Makonda alikuwa ni mtu kavalishwa sura ya Makonda c eti?

Hongera kwa akili finyu kama 0.....
Cctv imemuonyesha makonda.
Na ipo pale kurekodi anaeingia na kutoka.
Basi wote ni wavamizi
 
Swali hili ni muhimu likajibiwa kwa ufasaha kwa kufuata misingi ya hoja zinazotokana na Maswali yafuatayo;
1. Hivi Uvamizi ukitokea mahali popote, aliyevamiwa/muhanga wa tukio anapaswa kuripoti wapi?
2. Je Clouds Fm walitoa taarifa za kuvamiwa kwao wapi?
3.Je CCTV camera zao mbona clip zinaonesha wakati wa kuingia tu? Mbona ndani hazioneshi chochote kama vile Rc akilazimisha kutangazwa kile alichotaka kiwe, akiingia chumba cha matangazo, akichukua document aliyokuwa akitaka itumike kutangazwa juu ya Gwajima. ?
4. Je kwanini clips zilipelekwa mitandaoni na kwa Gwajima badala ya Polisi? Nini maana yake ktk hili?
5. Kwanini uvamizi huu ukolee baada ya vita vya madawa ya kulevya kupamba moto na kumtaja Gwajima?
6. Kumbukumbu zinathibitisha kuwa Kashfa za Clouds Fm kushiriki katika kadhia ya madawa ya kulevya siyo ngeni, mfano Ruge alishiriki kumsababishia kifo Ngweya baada ya ndege kushindwa kuondoka kwa tarehe iliyotarajiwa hivyo madawa kupasukia tumboni mwa Ngweya, na Clouds Fm kufanya jitihada za haraka kwenda kumpasua na kuchukua kete hizo. Je kwanini hili lisiundiwe Tume na badala yake Rc. Makonda ndiye aundiwe tume?
UFEDHULI WA JINSI HII HAUFAI KUFANYWA NA WAZALENDO WA KITANZANIA KWA MASLAHI BINAFSI.
 
Ruge huyo huyo ndiyo kituo chake kilitumika kuwataja wauza ngada. Hivyo hayupo upande wao
 
Kwanza baada ya uvamizi Ruge aliripoti kituo cha Polisi Oysterbay ambako alihojiwa.
Kama unaulizia clip ya ndani maana yake unaikubali hiyo iliyopo.
Kama Ruge alisababisha kifo cha Mangwea, mbona Makonda hakumtaja kwenye list ya wauza ngada, au walikuwa anashirikiana? Tufahamjshe
 
Bashite ndiyo kitu gani? Ongelea mauti yaliyompata Ngweya.
Title yako umeandika uvamizi wa clouds na aliyevamia clouds ni bashite, naona utakua umeelewa kwa nini nimemweka hapo huyo mjingamjinga. Mambo ya Ngwea siyajui hebu tusimulie.
 
Bashite hasafishiki....
Bashite ni mwizi wa mali za watu kwa mgongo wa madawa, pia ni wakala wa sodoma na gomola hadi ameiweka nchi kwenye nanihii yake, huu ni ujinga wa hali ya juu kutumia viungo vyako kinyume na maumbile kuihujumu nchi na kuwanyanyasa wanyonge.
 
NANGOJA MAJIBU YA SWALI HILI
Swali hili ni muhimu likajibiwa kwa ufasaha kwa kufuata misingi ya hoja zinazotokana na Maswali yafuatayo;
1. Hivi Uvamizi ukitokea mahali popote, aliyevamiwa/muhanga wa tukio anapaswa kuripoti wapi?
2. Je Clouds Fm walitoa taarifa za kuvamiwa kwao wapi?
3.Je CCTV camera zao mbona clip zinaonesha wakati wa kuingia tu? Mbona ndani hazioneshi chochote kama vile Rc akilazimisha kutangazwa kile alichotaka kiwe, akiingia chumba cha matangazo, akichukua document aliyokuwa akitaka itumike kutangazwa juu ya Gwajima. ?
4. Je kwanini clips zilipelekwa mitandaoni na kwa Gwajima badala ya Polisi? Nini maana yake ktk hili?
5. Kwanini uvamizi huu ukolee baada ya vita vya madawa ya kulevya kupamba moto na kumtaja Gwajima?
6. Kumbukumbu zinathibitisha kuwa Kashfa za Clouds Fm kushiriki katika kadhia ya madawa ya kulevya siyo ngeni, mfano Ruge alishiriki kumsababishia kifo Ngweya baada ya ndege kushindwa kuondoka kwa tarehe iliyotarajiwa hivyo madawa kupasukia tumboni mwa Ngweya, na Clouds Fm kufanya jitihada za haraka kwenda kumpasua na kuchukua kete hizo. Je kwanini hili lisiundiwe Tume na badala yake Rc. Makonda ndiye aundiwe tume?
UFEDHULI WA JINSI HII HAUFAI KUFANYWA NA WAZALENDO WA KITANZANIA KWA MASLAHI BINAFSI.
 
Mleta mada utakuwa unaajenda binafsi, hata kama umetumwa heshima yako na utu wako visinunuliwe kwa bei yoyote japokuwa sijuaju umri wako na level of education uwezo wako wa kupambanua mambo ni Mdogo mno. Ni hayo tu
 
Kwanza baada ya uvamizi Ruge aliripoti kituo cha Polisi Oysterbay ambako alihojiwa.
Kama unaulizia clip ya ndani maana yake unaikubali hiyo iliyopo.
Kama Ruge alisababisha kifo cha Mangwea, mbona Makonda hakumtaja kwenye list ya wauza ngada, au walikuwa anashirikiana? Tufahamjshe
Madai kuwa Ruge alitoa taarifa siyo kweli kwani Wakuu wa vituo vya polisi wote walikana kufahamu taarifa za uvamizi, baadaye ndipo Ruge alipotakiwa kutoa maelezo. Kuhusu kuwa eti clip ya kwanza ya Getini ambayo inaonesha hakuna uvamizi wowote, inaonesha Mlinzi akifingua kama kawaida, hakuna kauli ya lazima, clip hizo ni nyingi kwani Rc.Makonda alikuwa akienda mara kwa mara Clouds Fm kikazi akiwa na ulinzi wake na hivyo haikuwa mara ya kwanza, hoja ya kwamba kwanini hakumtaja Ruge, maana yake unataka kumpangia kazi Rc. Makonda, na pia binafsi yako kumbe unaamini kuwa Ruge ni muhusika na ndiyo maana unahoji kwanini yeye aliachwa kwenye orodha. Haya yalikuwa maigizo yanayotokana na chuki dhidi ya madawa ya kulevya.
Hoja yako ni nini, kifo cha Ngweha au uvamizi clouds au DAB au Gwajima au kuripoti polisi au clip ya uvamizi iko nusu?
 
Madai kuwa Ruge alitoa taarifa siyo kweli kwani Wakuu wa vituo vya polisi wote walikana kufahamu taarifa za uvamizi, baadaye ndipo Ruge alipotakiwa kutoa maelezo. Kuhusu kuwa eti clip ya kwanza ya Getini ambayo inaonesha hakuna uvamizi wowote, inaonesha Mlinzi akifingua kama kawaida, hakuna kauli ya lazima, clip hizo ni nyingi kwani Rc.Makonda alikuwa akienda mara kwa mara Clouds Fm kikazi akiwa na ulinzi wake na hivyo haikuwa mara ya kwanza, hoja ya kwamba kwanini hakumtaja Ruge, maana yake unataka kumpangia kazi Rc. Makonda, na pia binafsi yako kumbe unaamini kuwa Ruge ni muhusika na ndiyo maana unahoji kwanini yeye aliachwa kwenye orodha. Haya yalikuwa maigizo yanayotokana na chuki dhidi ya madawa ya kulevya.
Zote hizo ni hoja na zinahitaji majibu.
 
Wapambe wa Makonda mnahangaika sana. Hata kama alikuwa akienda Clouds kila mara, alikuwa akienda na msafara wa wanajeshi na bunduki? Halafu usiju ule alikwenda kutoa maelekezo ya Kipindi kama nani? Mhariri? Au ukishakuwa Mkuu wa mkoa ndio una mamlaka ya kupangia chombo cha habari jambo la kutangaza?
Halafu kama alikuwa na nia njema, kwanini hakumjulisha Ruge kuwa anakwenda ofisini kwake?
Kwa kifupi huo ni uvamizi.
 
Back
Top Bottom