Utata, upotoshaji na ukweli unaouma kuhusu 'The Da Vinci code'

Utata, upotoshaji na ukweli unaouma kuhusu 'The Da Vinci code'

Huu uzi unanichekesha mleta uzi kaongelea kuhusu ukisto na vikund vya siri vilivyomo wachangia mada wameugeukia uislam.Ndg zetu wakristo leteni hoja za kukubaliana ama kutukukubalia na ndg yenu.N.B mleta mada ni ndg yenu katika iman hvy analewa vzr analolionge
 
Maria Magdalena ndo nani? Kwa marefu na mapana, Historian yake na mtu kwa ujumla
 
shida inakuja hapa kwamba ni ngumu kuibadilisha mitazamo ya wakristo na wafia dini hiyo kutokana nakuwa hawapendi kuukubali ukweli biblia inamashaka mengi na inatia wasi wasi hata kwa wale waiaminiyo........iwaje kitabu kitakatifu kiwe na nakala mbili ya kale na ya zamani...kwahiyo inamaanisha mungu kwenye agano la kale aliikosea mpaka akaamua atoe NEW EDITION....kuna kitu huwa najaribu kulinganisha kati ya vitabu hivi viwili vikuu ambavyo vina watumiaji wengi yani QURAN na BIBLIA ambapo Quran imeweza beba mafundisho yake yote ndani ya kitabu kimoja ambapo mafundisho yake yanatafsiriwa kwa SUNNA[matendo ya mtume MUHAMMAD] na HADITHI za mtume ikiwa hadithi na sunna hizo zote hakuna zinazoongeza chumvi wala kupunguza bali kutafasiri kwa upana mafunzo yaliomo ndani ya QURAN ambapo BIBLIA kwa hapa imefeli kabisa kutokana na kuwa na BIBLIA nyingi mara hii ya WASABATO ile ya KKKT nk........jambo jingine ni lugha zinazotumika ndani ya vitabu hivyi viwili katika suala la ibada na hapa ndipo BIBLIA IMEFELI 100%.......pale muhubiri wa dini wa kikristo mfano anatokea china akija kuongoza ibada TANZANIA yeye atatumia KICHINA ambapo atahitaji mkalimani ili aweze kuyatafasiri maneno yake ili waumini waweze kuelewa ni nini cha kufanya WAKATI wafia dini ya UISLAMU wanatoka nchi mbalimbali duniani zikiwemo TANZANIZ,CHINA,JAPAN,USA nk wakielekea kwenye ibada MAKKA.....pale imamu atakayekuwa anaiongoza ibada hatahitaji mkalimani akisema 'ALLAH AKBAR' kila mtu ndani ya msikiti ule ataelewa ni nini cha kufanya ama nikipi kimeamrishwa bila kuhitaji mkalimani...na hii inaprove ya kwamba dini yauislamu ni ya ulimwengu mzima na sio mtu na mtu ama nchi na nchi na pia inaonesha UISLAMU kuwa ndiyo dini ya haki iliyotoka kwa mwenyezi Mungu jala jalali na sio ya kutungwa na mtu ndo maana haioneshi makosa katika utendaji wake.........UKRISTO UNAONESHA MAPUNGUFU MENGI!!!!!!
Tatizo lenu ninyi hampingwi maana hamkawii kuinua majambia badala ya kujenga! Ndio maana Mimi siwabishiagi! Bado napenda K Vant! Ahahahahaha!!!
 
Kunatetesi kuwa Yesu na Magdalena walienda kula bata pale Paris ndo maana hadi leo ukajengwa ule mnara😊😊
 
Back
Top Bottom