BuletAngle
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 688
- 557
Nimekuelewa kwa mbali ngoja ni jaribu kujadili na kimbori. Alafu nitarudi
Taratibu ndugu yangu, habari nyingi ziwe nzuri au mbaya tunazipata kwenye vitabu iwe vya sasa au vya zamani, unaposoma vitabu akili yako inchambua na waweza kujua jambo gani katika kitabu hicho limefanyiwa utafiti na lipi limepachikwa tu.Napata shida sana na watu wanaoamini vitabu vya juzi vilivyotungwa na binadamu na kuamini dini ya mzungu wakati nao wamepokea ebu jaribu kwanza kutafuta hata historia ya dini mataifa mengi hadi kukubali dini izo ilikuaje kwann muarabu mpaka leo analazimisha dini yake bora na kufanya maangamizi kwa upanga kupinga dini lakni aisemwi
Nitautafuta mkuuKuna mzigo mpya wa Dan Brown unaitwa Origin,,, ni hatari
hahahahaha mkuu nikisoma(ga) hadithi za mtume naona porojo tu, wanasema mtume alitabiriwa utume wake na mganga wa kienyejishida inakuja hapa kwamba ni ngumu kuibadilisha mitazamo ya wakristo na wafia dini hiyo kutokana nakuwa hawapendi kuukubali ukweli biblia inamashaka mengi na inatia wasi wasi hata kwa wale waiaminiyo........iwaje kitabu kitakatifu kiwe na nakala mbili ya kale na ya zamani...kwahiyo inamaanisha mungu kwenye agano la kale aliikosea mpaka akaamua atoe NEW EDITION....kuna kitu huwa najaribu kulinganisha kati ya vitabu hivi viwili vikuu ambavyo vina watumiaji wengi yani QURAN na BIBLIA ambapo Quran imeweza beba mafundisho yake yote ndani ya kitabu kimoja ambapo mafundisho yake yanatafsiriwa kwa SUNNA[matendo ya mtume MUHAMMAD] na HADITHI za mtume ikiwa hadithi na sunna hizo zote hakuna zinazoongeza chumvi wala kupunguza bali kutafasiri kwa upana mafunzo yaliomo ndani ya QURAN ambapo BIBLIA kwa hapa imefeli kabisa kutokana na kuwa na BIBLIA nyingi mara hii ya WASABATO ile ya KKKT nk........jambo jingine ni lugha zinazotumika ndani ya vitabu hivyi viwili katika suala la ibada na hapa ndipo BIBLIA IMEFELI 100%.......pale muhubiri wa dini wa kikristo mfano anatokea china akija kuongoza ibada TANZANIA yeye atatumia KICHINA ambapo atahitaji mkalimani ili aweze kuyatafasiri maneno yake ili waumini waweze kuelewa ni nini cha kufanya WAKATI wafia dini ya UISLAMU wanatoka nchi mbalimbali duniani zikiwemo TANZANIZ,CHINA,JAPAN,USA nk wakielekea kwenye ibada MAKKA.....pale imamu atakayekuwa anaiongoza ibada hatahitaji mkalimani akisema 'ALLAH AKBAR' kila mtu ndani ya msikiti ule ataelewa ni nini cha kufanya ama nikipi kimeamrishwa bila kuhitaji mkalimani...na hii inaprove ya kwamba dini yauislamu ni ya ulimwengu mzima na sio mtu na mtu ama nchi na nchi na pia inaonesha UISLAMU kuwa ndiyo dini ya haki iliyotoka kwa mwenyezi Mungu jala jalali na sio ya kutungwa na mtu ndo maana haioneshi makosa katika utendaji wake.........UKRISTO UNAONESHA MAPUNGUFU MENGI!!!!!!
umeongea pumba nyingi badala ya point,wewe ni mfia dini warabu wamekuaribu.soma vzr mada inahusu nini uchangie kutokana na madashida inakuja hapa kwamba ni ngumu kuibadilisha mitazamo ya wakristo na wafia dini hiyo kutokana nakuwa hawapendi kuukubali ukweli biblia inamashaka mengi na inatia wasi wasi hata kwa wale waiaminiyo........iwaje kitabu kitakatifu kiwe na nakala mbili ya kale na ya zamani...kwahiyo inamaanisha mungu kwenye agano la kale aliikosea mpaka akaamua atoe NEW EDITION....kuna kitu huwa najaribu kulinganisha kati ya vitabu hivi viwili vikuu ambavyo vina watumiaji wengi yani QURAN na BIBLIA ambapo Quran imeweza beba mafundisho yake yote ndani ya kitabu kimoja ambapo mafundisho yake yanatafsiriwa kwa SUNNA[matendo ya mtume MUHAMMAD] na HADITHI za mtume ikiwa hadithi na sunna hizo zote hakuna zinazoongeza chumvi wala kupunguza bali kutafasiri kwa upana mafunzo yaliomo ndani ya QURAN ambapo BIBLIA kwa hapa imefeli kabisa kutokana na kuwa na BIBLIA nyingi mara hii ya WASABATO ile ya KKKT nk........jambo jingine ni lugha zinazotumika ndani ya vitabu hivyi viwili katika suala la ibada na hapa ndipo BIBLIA IMEFELI 100%.......pale muhubiri wa dini wa kikristo mfano anatokea china akija kuongoza ibada TANZANIA yeye atatumia KICHINA ambapo atahitaji mkalimani ili aweze kuyatafasiri maneno yake ili waumini waweze kuelewa ni nini cha kufanya WAKATI wafia dini ya UISLAMU wanatoka nchi mbalimbali duniani zikiwemo TANZANIZ,CHINA,JAPAN,USA nk wakielekea kwenye ibada MAKKA.....pale imamu atakayekuwa anaiongoza ibada hatahitaji mkalimani akisema 'ALLAH AKBAR' kila mtu ndani ya msikiti ule ataelewa ni nini cha kufanya ama nikipi kimeamrishwa bila kuhitaji mkalimani...na hii inaprove ya kwamba dini yauislamu ni ya ulimwengu mzima na sio mtu na mtu ama nchi na nchi na pia inaonesha UISLAMU kuwa ndiyo dini ya haki iliyotoka kwa mwenyezi Mungu jala jalali na sio ya kutungwa na mtu ndo maana haioneshi makosa katika utendaji wake.........UKRISTO UNAONESHA MAPUNGUFU MENGI!!!!!!
prove unachoongea!!!!!!!......... maana mtu wa kwanza kumtabiria mtume MUHAMMAD utume wakati akiwa mdogo kabisa alikua ni PADRI BAHIRA sasa nashangaa mnavyotunga mambo yasio na uhakika wowote ama kithibitisho chenye nguvu.......hahahahaha mkuu nikisoma(ga) hadithi za mtume naona porojo tu, wanasema mtume alitabiriwa utume wake na mganga wa kienyeji
prove me wrong.....sio na wewe una reply then unashindwa kuprove kilichoandikwa kuwa ni uongo ama kweli unabaki kutoa mapovu tu........FICHA UJINGA ONESHA BUSARA ZAKO!!umeongea pumba nyingi
umeongea pumba nyingi badala ya point,wewe ni mfia dini warabu wamekuaribu.soma vzr mada inahusu nini uchangie kutokana na mada
hujui agano la kale ni nini agano jipya ni nini.eti new version hapo unaonyesha kabisa unafikiria kutumia mhe masaburi.acha kuongea mambo usiyoyajuaprove me wrong.....sio na wewe una reply then unashindwa kuprove kilichoandikwa kuwa ni uongo ama kweli unabaki kutoa mapovu tu........FICHA UJINGA ONESHA BUSARA ZAKO!!
unashindwa kuendana na level za vitu vilivyooneshwa kwenye comment ile.........prove sasa kwamba agano la kale lilitokea wapi na jipya lilitokea wapi?......kutokana na kuwa upande wa uislamu ni sharia mojawapo ili uwe muislamu kamili ni lazima ukubali kuviamini vitabu vyote vinne vya mwenyezimungu....hujui agano la kale ni nini agano jipya ni nini.eti new version hapo unaonyesha kabisa unafikiria kutumia mhe masaburi.acha kuongea mambo usiyoyajua
Quran ref(2:2) "THIS IS THE BOOK WITHOUT ANY DOUBT INSIDE OF IT"......'hiki ni kitabu kisichonashaka ndani yake'...................katika kitabu ambacho kinaeleweka na mapungufu kuonekana bila kujificha ni BIBLIA....ni nan ambaye ataisoma BIBLIA naakashindwa kuelewa....mbona kama unataka kuipa sifa zisizo zake(UMEIVISHA KILEMBA CHA UKOKA)Tupe mapungufu ya quran pia ili tuweze kujadili maana yapo mengi na hayo uloongelea kwenye biblia in kutokuelewa kwako tu.
Alitabiriwa au alikuwa anasukwa huko Vatican???prove unachoongea!!!!!!!......... maana mtu wa kwanza kumtabiria mtume MUHAMMAD utume wakati akiwa mdogo kabisa alikua ni PADRI BAHIRA sasa nashangaa mnavyotunga mambo yasio na uhakika wowote ama kithibitisho chenye nguvu.......
prove....na sio unaleta maneno makavu...FICHA UPUMBAVU WAKO!!!!..BY Invisible......halafu pia kwa mujibu wamaneno yako inameans hata pia WAKATOLIKI ni WAISLAM...nachakushangaza zaidi PADRI BAHIRA hakua mkatoliki......so umejitungia historia unayoijua wewe mwenyeweAlitabiriwa au alikuwa anasukwa huko Vatican???
Uislam ulienezwa na wakatoliki wenyewe ndio maana unaona padri alimtabiri.
Huyo hatoweza kukujibu maana ndo warukaruka kama maharage jikoni haoprove unachoongea!!!!!!!......... maana mtu wa kwanza kumtabiria mtume MUHAMMAD utume wakati akiwa mdogo kabisa alikua ni PADRI BAHIRA sasa nashangaa mnavyotunga mambo yasio na uhakika wowote ama kithibitisho chenye nguvu.......
Huu mjadala nimeupenda, sema kufanya translation nashindwa.
Kuna mwandishi ameandika ku-counter Dan Brown.
Labda mkuu uweke wazi katika injili mbili ipi imetofautiana na nyingine? Je zote zilishushwa nyakati moja (kwa kila dini). Na kama sivyo una maoni ganiunashindwa kuendana na level za vitu vilivyooneshwa kwenye comment ile.........prove sasa kwamba agano la kale lilitokea wapi na jipya lilitokea wapi?......kutokana na kuwa upande wa uislamu ni sharia mojawapo ili uwe muislamu kamili ni lazima ukubali kuviamini vitabu vyote vinne vya mwenyezimungu....
1.ZABURI
2.INJILI
3.TAURATI na
4.QURAN......kuwa vitabu vyote hivyi ni vya mwenyezimungu...na kila kitabu kilishushwa kwa UMATI(JAMII) flani kwa kipindi flani na kila kitabu kikaja kubadilishwa kutokana na kupatikana kwa kizazi kingine.....na hizi ndizo zilizokuwa UMMA na vitabu vyake kama ifuatavyo..
1.ZABURI...ilishushwa kwa ummat wa NABII DAUDI(a.s)
2.INJILI......ilishushwa kwa ummat wa NABII ISSA(a.s)
3.TAURAT...ilishushwa kwa ummat wa NABII MUSSA(a.s)
4.QURAN....ilishushwa kwa ummat wa NABII MUHAMMAD(s.a.w)
kwa hiyo unaposema kuwa silijui agano jipya wala lakale unatakiwa uprove kuwa kweli silijui.....wote tunakubaliana ya kuwa INJILI=BIBLIA kama muitavyo nyinyi japo BIBLIA imebadilishwa sana sio INJILI halisi....INJILI ni moja tu na haina matawi ya kuwa na injili ya kale wala mpya..ilishushwa INJILI MOJA na sio INJILI MBILI na kama unataka kuonesha kuwa injili zipo mbili(agano la kale na jipya) basi tuoneshe ni umma gani ulikua na agano la kale na ni upi una agano jipya....kwa hiyo 100% UKRISTO wa sasa na INJILI ya sasa ni ZAKUBUNIWA sio HALISI....prove me wrong..na sio kuleta point za kukaririshwa!!!!!