BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,290
Serikali haramu Mkuu kwani haikupewa ridhaa na Watanzania.
kwa hii serikali yetu! na hili litapita.
kwa hii serikali yetu! na hili litapita.
Kama ameweza kujisalimisha mwenyewe polisi, kwa ujasili huo je uoga wa ku jinyonga ameutoa wapi! Na je mazingira ya sero unaweza vipi kujinyonga?Dah...ni ujinga tu kujiua kwa sababu ya madeni….wakati mtu unaweza kuishi kwa figo moja bila tatizo lolote...Kule Iran ambako figo zinauzwa kihalali….figo moja bei yake ni kati ya shilingi milioni 120 hadi 300 kutokana na ubora ...halafu wewe unajiua...unafukiwa na figo zako![]()
![]()

Tunadanganya tu hapa .Jamii yoyote inayozidiwa na hali ya umasikini, kinachofuata ni kulogana tu, kwani , mambo yanapokuwa hayaendi vizuri, lazima atafutwe mchawi, na awamu hii mtu usimchezee kabisa .Hii nchi tutarudi kwenye mambo ya kurogana.
Kule Njombe kuna kitu wanaita " TEGO".......ni balaa hiyo kitu bwashee!
Kama ameweza kujisalimisha mwenyewe polisi, kwa ujasili huo je uoga wa ku jinyonga ameutoa wapi! Na je mazingira ya sero unaweza vipi kujinyonga?
Sero inarindea mda wote, Sasa je walishindwa vipi kuzuia tukio.
Polosi wameua mama wa watu!Tunadanganya tu hapa .
Alikuwa anajifanya ofisa wa nini?RIP Tapeli afisa feki, ulikuwa unachafua taasisi na Maisha yako yalileta vilio kwa wengine. Familia ihangaike kulipa madeni na kufuta kesi.
Umeeleweka vizuri sana.RIP Tapeli afisa feki, ulikuwa unachafua taasisi na Maisha yako yalileta vilio kwa wengine. Familia ihangaike kulipa madeni na kufuta kesi.
Alishamalizana na wenye nguvu kulikoLugumi Akamatwe na Kuhukumiwa Mara Moja. Mhe. Kikwete alipanga kuweka CCTV kwenye vituo vyote vya polisi.
Mkuu, kwani alikuwa na afisa wa nini?RIP Tapeli afisa feki, ulikuwa unachafua taasisi na Maisha yako yalileta vilio kwa wengine. Familia ihangaike kulipa madeni na kufuta kesi.
Kwa hiyo unatushauri twende Iran tukauze figo zetu? Ila kumbuka ukija na fedha nyingi kiasi hicho utaishia pale JNIA na kuwekwa ndani kisa unatakatisha fedha. Kesi hiyo haina dhamana.Dah...ni ujinga tu kujiua kwa sababu ya madeni….wakati mtu unaweza kuishi kwa figo moja bila tatizo lolote...Kule Iran ambako figo zinauzwa kihalali….figo moja bei yake ni kati ya shilingi milioni 120 hadi 300 kutokana na ubora ...halafu wewe unajiua...unafukiwa na figo zako 🤣 🤣🤭
Avatar yako na ulichokiandika haviendani. Kijani si inabidi u praise mwanzo mwisho?😲 Liwe baya liwe zuri. Au akili zishatuingia baada ya uchaguz?!MASWALI YA KUJIULIZA.
1. Ilitokea bahati mbaya gani mpaka akawa peke yake mahabusu ? Hili jambo gumu sana
2. Aliwekwa kituoni kwa makosa yepi ??
3. Mchakato wote wa kujinyonga polisi walikuwa wapi ??
4. Kwa nini apelekwe kituoni usiku wa saa 5:27 wakati polisi walikuwa mbali ya kituo wakati wote wa kujinyonga hiyo saa 5:27 walitokea wapi ?
5. Nguo aliyojinyongea ina uimara kiasi gani na ni ya aina gani ??
6. Polisi wana mamraka ya kuua mahabusu ??
NCHI HII SA HIVI WOTE TUMEKUWA WATUMWA KWENYE NCHI YETU WENYEWE.
Unyonge wewe, uchunguzi ufanye wewe na majibu utoe wewe! In favour of the deceased! Utakuwa nabii na mtume uliyerogwa.Tusubiri uchunguzi wa tukio, tusikimbilie kutoa hitimisho kabla ya uchunguzi kukamilika.
. Upande mmoja alijifunga kwenye shingo na kujinyonga, ule upande mwingine aliufunga wapi?MASWALI YA KUJIULIZA.
1. Ilitokea bahati mbaya gani mpaka akawa peke yake mahabusu ? Hili jambo gumu sana
2. Aliwekwa kituoni kwa makosa yepi ??
3. Mchakato wote wa kujinyonga polisi walikuwa wapi ??
4. Kwa nini apelekwe kituoni usiku wa saa 5:27 wakati polisi walikuwa mbali ya kituo wakati wote wa kujinyonga hiyo saa 5:27 walitokea wapi ?
5. Nguo aliyojinyongea ina uimara kiasi gani na ni ya aina gani ??
6. Polisi wana mamraka ya kuua mahabusu ??
NCHI HII SA HIVI WOTE TUMEKUWA WATUMWA KWENYE NCHI YETU WENYEWE.