Utata mwanamke kujinyonga polisi

Utata mwanamke kujinyonga polisi

Nilisikia habari za Dada mmoja kujinyonga mtaani kwetu sikuweza ku connect na hii ishu kwani Mburahati ni mbali sana tena sana na huku kitaani kwetu.
Katika story story nikaingiza taarifa hii nikaambiwa tu "Si ndo huyo" nikauliza kuhusu hizo taarifa za madeni kama ilivyo katika habari hii nikaambiwa ni kweli....kuhusu kujinyonga kwake wazazi wanakataa wanasema alikua strong asingeweza kujiua.
Kifupi ukisikiliza taarifa za mtaani huwezi kuwa kwenye position ya ku judge ni bora kusubiri tu majibu ya "postmortem"
 
Uchunguzi wa maiti unafanywa na team ya madaktari ila kuna kuwa na polisi wana kuwa ni waangaliaji tu then wana pewa report
Hilo ni kundi moja, ukitaka daktari wako na polisi wasiwepo wanakataa! Fuata maelekezo.
 
Back
Top Bottom