Utata juu ya mwanaJF Ontario

Huo ndio ujinga wa wabongo... Unalipa just for kuenda kuambiwa kuwa unaweza kuwa tajiri
...
The greatest human weakness lies in their psychology.

Unaambiwa wewe ni kamanda, kaza. Mjeshi halii njaa. Jeshi si lelemama. Huo ndio uanaume. Jembeeeeee. Lengo ukubali kuishi kwenye hema la mabati porini wakati anaekwambia hivyo ANAKULA BATA IKULU.

Hivi vikauli vya Nasaidia , Nasaidia huku UNAPIGWA vinadumaza sana.
 
Nyie ndio mnaofua Pesa. TRA kujeni huku wanatangaza watu wajiunge kufua notii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wabongo ifike muda tupone ugonjwa wa kutaka inspiration kama bia ...ww mwaka watatu sasa unataka kuwa inspired tu utafanya lini??? ...internet unayo ..youtube ..google ...hapa jf ...insta ..na kwingineko info bure bure ..,, cha msingi ni kuamua kufanya unachotaka kufanya upambane ufanikiwe bila kusahau research b4 ila haya ma motivation mnayoyakimbilia hayawasaidii ...miujiza hamna jamani fanya kaz ule matunda lasivyo hizi kitonga ztawasubirisha sanaa.... na tabia nyingne mbaya ni kufanya kaz leo kutegemea matokeo makuuubwa kesho Hapana ...piga mzigo leo mafanikio yapo mwez ujao muhmu uvumilivu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ontario fundi sana, aliwakusanya mpaka wabunge kudadekiii. Nilibaki nacheka tu maana mwisho wake niliujua..

Ila dogo ni mpambanaji ingawa anapambana kwa njia zisizo sahihi. Daaah aliwadanganyaga watu humu alitengeneza million 29 ndani ya mwezi kwa trekta la kukodisha, kuna jamaa yupo Mvomero huko tena yeye ni mmiliki kabisa wa trekta lakini anashangaa hajawahi kupiga pesa yote hiyo kwa kuwalimia watu mashamba ndani ya mwaka mzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaa alipanic sana akahisi kama anarogwa hivi kumbe dogo alikuwa na mission zake ana haunt..

Alivyowaliza humu ndani nikasema safi sana mdogo wangu.. There is no shortcut in life aisee..
 

Tukiacha na mambo mengne dogo Ontario ubongo wake upo active.... Dogo ni fighter kulingana na akli yake inavofanya kazi...
Hata wazungu wamendelea Kwa sababu ya ujinga wa Mwafrica,Asia etc , sio lazima ukomae vigimbi ndo uonekanae unafanya kazi wakat kuna njia unaweza work smart na ukamake πŸ’° , Ontario kaona fursa na kaitumia lakn unakuta mtu anahenyeshwa na kazi za Maghufuli au kampuni/ shirika /taasisi na salary yake ni 1000k or down lakn anamponda Ontario ....
Ukiona mtu kafanikiwa ujue kuna boya kanyonywa , maisha ndivyo yalivyo, maisha yenyewe mafupi haya ukifikisha miaka 40 tayar ushaitwa Mzee....

Istoshe wanaomuita tapeli si wamkamate wamshitak mbna daily dogo anaranda mjin hapa openly
 
Kuna mmoja huko IG anajiita Sir.Beverin sijui brevin na mwenzake anajiita fran.ceo hawa machalii kila siku wanaondoka na kijiji, wana wafuasi wao kabisa kama bwama Ontario.
 
Weee usinambie[emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti nilishawahi tapeli? Una uhakika?

We unawasemelea watu? Kama we ni tapeli unadhani kila mtu ni tapeli eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…