middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,695
Ni poa lakini kama wewe muumini wa dini ya kristo ungesoma bibblia mkuu kila kitu kipo mule .Mkuu The Bold
Samahani Sana Sijajua Kwenye Hizi Dini Zetu Upo Upande Upi Japo Nimewaza Kupitia Kipaji Chako Ikikupendeza Sana
Ninaomba Utuletee Makala Inayohusu Nchi Hizi Za Israel,Misri,Jordan, Palestine, Kote Ambapo Maisha Ama History Inamtaja Yesu
Japo Makala Hiyo Iwekwe Jukwaa Hili