Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Nashukuru ndugu kwa uchambuzi huu ambao binafsi kifo cha huyu rais ni kitata sana na nmekua nafatilia
Pia naomba kama itakua poa ujarib pia kuleta uchambuz kuhusu familia ya kennedy nilikua naangalia makala flani baada ya kifo chake miaka michache badae familia yake walikua wanakufa vifo vya utata
 
The bold ningependa kujua hitima yako wewe nawanaoghushi story hzi zimefikia wapi mpaka ujatoa Hii story, by the way am a great funn of ur stories keep it up
Mkuu,

Gazeti la RAI wameomva radhi na tuko kwenye mwishonu mwa mazungumzo kulipa fidia ili kuepuka kuburuzana kortini... Nadhani tutafikia muafaka.

Mwandishi wao ndio aliwaingiza chaka, alipeleka stori bila muhariri kufahamu kuwa amekopi mahala
 
Nashukuru ndugu kwa uchambuzi huu ambao binafsi kifo cha huyu rais ni kitata sana na nmekua nafatilia
Pia naomba kama itakua poa ujarib pia kuleta uchambuz kuhusu familia ya kennedy nilikua naangalia makala flani baada ya kifo chake miaka michache badae familia yake walikua wanakufa vifo vya utata
Sawa mkuu! Nitafanyia kazi hili suala...
 
Nashukuru ndugu kwa uchambuzi huu ambao binafsi kifo cha huyu rais ni kitata sana na nmekua nafatilia
Pia naomba kama itakua poa ujarib pia kuleta uchambuz kuhusu familia ya kennedy nilikua naangalia makala flani baada ya kifo chake miaka michache badae familia yake walikua wanakufa vifo vya utata
Duuhh uyo. Kennedy alitoa siri nn za USA ???. Mpaka familia yake aisseh ..
 
Mkuu naomba sana uelezee kuhusu kifo cha lady Diana, Princess of Wales (Diana Frances; née Spencer ; 1 July 1961 – 31 August 1997) the first wife of
Charles, Prince of Wales ,
images-7.jpeg
 
Pamoja sana chief..
Mkuu The Bold
Samahani Sana Sijajua Kwenye Hizi Dini Zetu Upo Upande Upi Japo Nimewaza Kupitia Kipaji Chako Ikikupendeza Sana

Ninaomba Utuletee Makala Inayohusu Nchi Hizi Za Israel,Misri,Jordan, Palestine, Kote Ambapo Maisha Ama History Inamtaja Yesu
Japo Makala Hiyo Iwekwe Jukwaa Hili
 
Back
Top Bottom