Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Mkuu The bold naona hata wale mahasimu wako wa Korea Kaskazini hapa wamekuwa wapole sana, hahahahahaha.
Mkuu heshima zikurudie kwa kazi unazofanya kwa nguvu zote. Mi nasubiri muendelezo tu kaka mkubwa...!!!
Hahahah.!! They are good guys... Sema ushabiki wetu tu (mimi na wao) ndio ukafanya tusigane... But they are good people
 
Mimi ni Muislamu lakini nimesoma Divinity (bible knowledge) kuanzia form one mpaka Chuo... So naelewa sana ukristo na nauhesgimu sana pia... That's why watu wanaulizaga "bold na nifah mtanfanyaje kwenye harusi coz mko dini tofauti??" Hahahah wengi wanadhani I'm a Christian... Ila ni kwamba naulewa kiundani na nauheshimu sana

Kuhusu ombi la makala sawa mkuu... Nafanyia kazi

Naamini UnaweZa Kutuletea Makala Moja Nzuri Haijalishi Hata Isipoongelea Dini
Ila Ukaongelea Miji Mitajatifu Yote Na Harakati Za Wakati Huo
 
Hahahah.!! They are good guys... Sema ushabiki wetu tu (mimi na wao) ndio ukafanya tusigane... But they are good people
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa mkuu lakini hapo kwenye Kennedy umewaneutralize mkuu lazima tuje kwa upole ila nasubiri sehemu inayofuata mkuu...!!!!
 
Kuna jambo huwa najiuliza sana kila wakati nikwa natafakari hili tukio.Mke wa rais aliwezaje kukurupuka na kulifuata fuvu la mumewe nyuma ya gari wakati mumewe amepigwa risasi?

Hebu fikiria tu hili tukio lilivyotokea kwa haraka halafu mtu aweze kurukia kipande cha fuvu la mumewe ilhali kukiwa na taharuki na pengine katika mazingira ya kawaida usingeweza kujua kilichotokea maana ni matukio ya haraka sana na katika hali ya kawaida tu ni lazima mshangao na mshtuko ungechukua nafasi kabla ya kujua kuwa mtu ameshambuliwa....

Halafu aliyefanya hivi ni mwanamke......

Ni jambo gumu sana kutokea hili na nachelea kusema kuwa kulikuwa na jambo zito kuliko hata tunaloliona kwenye nyaraka mbali mbali za tukio hili....

Nimefuatilia jambo hili sana tu na pamoja na nyaraka nilizowahi kuziona bado naziona zimepunguwa sana tena sana tu ili kuelezea tukio hili maana ni vigumu sana mambo mengi kutokea....

Mpiga picha ya video aliwezaje kuwaona polisi wakikimbilia eneo alilolitaja halafu hapo hapo aendelee kurekodi tukio hili? Kuna mambo ni magumu sana kuyaelewa...

Pamoja na yote hayo,ninajua [siyo kuamini] kuwa wote hao waliouawa na maafisa wa serikali wanajuwa kilichokuwa kinatokea....

Nashindwa kuamini kuwa Zhapruder pekee ndiyr aliyekuwa na kamera eneo hilo,kuna mengi zaidi na tukio hili ni miongoni mwa matukio tata zaidi kuwahi kutokea....

The bold ,kwa mara nyingine hongera sana kwa kuwajulisha wengine wasiokuwa wakielewa juu ya mengi kuhusu jambo hili.....

Pamoja sana mkuu.....
 
Hili jambo sio la kikosi cha ugaidi wala mtu mmoja mwenye visa na raisi, yawezekana lilikua swala la kundi kubwa la watu kutoka ikulu walio mzunguka rais, wakwanza mm ninae muona pale ni yule rafiki yake mkubwa aliepanga root nzima na wapili niwale maafisa usalama walioshinikiza kuondoka na mwili hospitalin na watatu waliopindisha taarifa ya madaktari kuhusiana na risasi ziliko ingilia ktk mwili.
 
Mkuu hili tukio kwa namna lilivyo kwangu mimi sioni kama ni la kikundi cha watu wenye hela au "wazito" kama watu wengi waliowahi kufanya uchunguzi juu ya kisa hiki walivyowaita, pia kutokana na mengi sana yaliyolizunguka tukio zima maana ni tukio la aina yake....

Ni mjinga pekee ambaye anaweza kukubali kuwa mtu tu mmoja mwenye chuki na rais wa taifa kubwa kama Marekani anaweza kutekeleza mauaji ya rais huyo.Kwanza kama haupo kwenye "sistimu" huwezi kujua rais anapita wapi hadi inapotangazwa na maeneo yote huwa yanakaguliwa na kuwekewa ulizi tena wa hali ya juu....

Marekani siyo Afrika,hawa watu wa serikali ya Marekani wasitake kudhania kila mtu anaweza kufikiria kama wao wanavyotaka afikirie...

JFK aliuawa kwa makusudi maalum zaidi ya kikundi cha watu wenye pesa tu.Kifo cha JFK akilikuwa na maana pana zaidi ya hii....
 
Mkuu the bold sijui nitakuwa na haraka sana ila naomba nikukumbushe usisahau kutwambia wale jamaa waliokuwa wanakagua barabara waliona kitu cha ajabu

yaaah afanye hivo hii aliielezea mwanzo wa story alafu hakuja kuiendeleza tena
 
Back
Top Bottom