Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Mkuu The bold unanisahau kwny tag.ila nasubiri sehemu inayofuata kwa hamu kama naangalia muvvi we mkaliii haswaa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwa mara ya kwanza kuona nyuzi ndefu kama hizi huwa naona uvivu kusoma. Ila nikianza natamani isiishe. Uko vizr sana the bold, unaweza kutuka makini ya wasomaji.
 
Ila unajua nn THE BOLD unajua mpaka unakera by the way nashkuru kwa kunifanya nijiunge jf..yan ww ndie mtu uliyenfanya nkajiunga jf kupitia ile makala yako ya shroud of Turin..much respect kwako miaka 1000
 
Mimi ni Muislamu lakini nimesoma Divinity (bible knowledge) kuanzia form one mpaka Chuo... So naelewa sana ukristo na nauhesgimu sana pia... That's why watu wanaulizaga "bold na nifah mtanfanyaje kwenye harusi coz mko dini tofauti??" Hahahah wengi wanadhani I'm a Christian... Ila ni kwamba naulewa kiundani na nauheshimu sana


Kuhusu ombi la makala sawa mkuu... Nafanyia kazi
Nasikia jina lako ni Abdallah[emoji4] [emoji4] [emoji4] (jokes)
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu the bold hongera kwa kufumbua hayo wengi walikua hawafaham

Pia nakukumbusha mwanzo Wa uzi ulisema Kuna kitu kilikua Na utata wakati Wa kukagua root atayopita JFK ukasema ungeeleza baadae usisahau hapo



Pia niongeze kwenye tag list maana huwa nachelewa kuona mwendelezo wake
Big up sana mkuu
 
Big up The bold
Mimi napenda sana simulizi kama hizi ;na maranyingi naona story hizi wanaume ndio hua wanazijua au kuziongelea ila sijawahi kusikia wanawake wanazungumza mambo haya,,.ni marufuku,

kwa mimi naenjoy sana ...Mzee/baba wangu ana shelf limejaa vitabu kuanzia sayansi,mpk historia,,simulizi nyingi anazijua na anajua kusimulia kwa ufasaha hasa,,sasa hua nafurahi sana anapoanza kuelezea story hizi za nchi/au vita na visa vya kiutawala kama hivi..
natamani na mimi niwe nauwezo huo lakini kumbukumbu yangu iko chini sana..
 
Back
Top Bottom