richgwami
New Member
- Sep 16, 2021
- 1
- 2
Habari wana JamiiForums...
Naomba maoni na ufafanuzi kwa wale wenye kufaham hili swala ada za shule. Namaanisha hivi mtoto anapokuwa shule mzazi analipa ada kwa awamu au installment sasa inapotokea mzazi amechelewa kulipa ada mara nyingi tunaona mtoto anarudishwa nyumban. Lakin kwa fikra zangu ndogo naona kama si sawa jaman.
Mana hata baada ya mtoto kurudi nyumban akikaa hata miez miwil siku akirudi shule unakuta ada inayodaiwa ni ile ile including zile siku ambazo hakuhudhuria masomo.
Najiuliza kwann mtoto arudishwe nyumban na bado ada idaiwe ? Nilidhan anatakiwa kulipa kwa kipind ambacho atarud darasan. Maana elimu ni service kama service nyingine za jamii mfano maji.
Sijawah kuona et dawasa wakate maji sabab wanakudai halaf siku ukija kulipa wakwambie na kile kipind tulikata maji pia unatakiwa ulipe wakat maji hukua unatumia.
Kwa upande wa shuke ikitokea mfano mtoto karudishwa nyumban mwezi wa 3 na mzaz hakupata ada hadi mwez wa 9.
Inakuaje mzaz anakua bado anadaiwa ada ya toka mwez wa tatu wakat mwanae hakufundishwa hyo ada ya mwezi wa tatu had tisa analipa kwasabab gani.
Tupeane elimu wakuu.
NAWASILISHA HOJA