Utaratibu mpya wa ticket CRDB hujakaa sawa

Nachojua utaratibu wa mashine na namba hupunguza ufanya kazi kwa kujuana na kuondoa mtu kupendelewa. Naomba wazee kwa hili tuvumilie ili mabadiliko haya yachanganye.
 
Wapendwa akuna asiependa globalization kama wanavyoita watanzania
ila kuna huu upupu ni hatari sana umekuwa ugonjwa mbaya kuliko ukimwi
hili swala la kugawana namba ni ugonjwa mbaya sana,,aiwezekani mtu anakuja saa nne
anachukua namba anaenda nyumban anaelekea airport na kurudi anakuta ajaitwa
huu ni upuuzi CRDB msiige vitu msivyoviweza mtakimbiwa na kila mmoja.....

Jamani imagine mtu anafika na kupewa karatasi namba 578 wakati hata 180 ajaitwa
hamuoni hu ni ushenzi na uppuuzi wa ajabu.......,alafu embu watanzania sijui niwaite hawa
jamaa washenzi ama wamefika namba 363 dada anaeiita akachoka wakabonyeza mashine ikaakaa
kimya wasivyo wastaarabu hawa wanga wameshindwa kusema wamechoka watu wamekaa dk 10
awaiti ndipo zogo likaanza akaja kabinti mmoja amekomaa kama mbuyu wa pale mbuyuni kituoni
kuanzia 360-380 wapange folen so utaona huu ni upuuzi kwenye folen unakuta wa 380 anaanza
maana ya namba inakuwa ushenzi mtupu....

EMBU JAMANI BADILIKEN CRDB HUU NI UJINGA WA AAJABU KABISA TUBADILIKE MSITUTESE KWA KUWA ATUNA PA KUKIMBILIA NOW TUMECHOKA IPO SIKU WAJWAZITO WATAWAFIA NA WATOTO MLE NDANI WAKIZAA NDIO MTAJUA HII MSG NINAYOWAAMBIA

MWENYE SIKIO NA SIKIE ASEMA

PDIDY

PDIDY sijaona unachokisema na uhusiano wa kanisani.

Ila nilicho note ni kwamba akili uliyotumia hapa haina tofauti na avatar yako.

Jaribu ku-link title (heading) na kile unachokiandika. Hapa hakuna uhusiano wa CRDB na kanisa maana kanisani hakuna tag numbers unazozungumzia hapa.
 
Lakini PDidy nafikiri hapo hujaelewa tu, hii ni badala ya kukaa na kuunga foleni muda wote, unaweza kuchukua namba na ukaenda kufanya mambo yako mengine. Nafikiri huwa mnaelewa kero za kukaa foleni hasa ile ya kuchomekeana ..... au ile ya ...... "aisee niko hapa nyuma yako" .... sasa hii teknolojia imeondoa tatizo hilo
 
Sijaelewa kitu! Kwa maana hiyo mfumo huo usitumike? Hii ni bongolala sana. Mfumo huo upo sehemu nyingi. Namba inapoitwa AMA kuwa displayed isiyokuwepo hurukwa na kuhudumia nyingine. Nenda ubalozi wa UK hapo umoja hse ama US embassy wanatwanga mfumo huo. Mleta mada nadhani anapombe kichwani za mapinduzi!

sioni kama mfumo wa kuita namba ni tatizo, angalizo kwa crdb ni kuwa wateja wamewazidi wajitahidi kufungua matawi zaidi ama waweke mashine za kudiposit fedha.
 
Au wamemchelewesha kwenye miadi, alikuwa anataka kuwahi watoto wa shule kabla hawajatoka
 
Mmefanya kwenda mlimani city kama outing.

Watu wengine bana, unafunga safari kwenda Mlimani City kwa ajili ya huduma ya bank tu! Except kwa Jumapili na extra hrs wanazofanya hapo Mlimani city, na kama si lazima sana kutumia CRDB Mlimani City, CRDB UDSM branch ipo .
Nakufagilia mkuu kwa observation yako.
Mlimani City CRDB inatatizo kubwa la kuwa shoppers bank.
Wengi ya wale wanaokwenda kwa huduma pale si wateja wa tawi hilo.
Kwa watu tulio wa tawi hili kwa kazi na makazi tunapata shida mno.Vile vile walio wengi ni wanafunzi wa vyuo.
Zoezi lisilopendwa na mabenki ni kuwa "paying agent" yaani tawi si benki tena bali mahali pa kuckulia pesa.
Hili lina leta usumbufu mkubwa kwa wale wateja wanao hitaji huduma za kibenki.
CRDB iwapunguze hawa warudi matawi yao.
 
Wapendwa akuna asiependa globalization kama wanavyoita watanzania
ila kuna huu upupu ni hatari sana umekuwa ugonjwa mbaya kuliko ukimwi
hili swala la kugawana namba ni ugonjwa mbaya sana,,aiwezekani mtu anakuja saa nne
anachukua namba anaenda nyumban anaelekea airport na kurudi anakuta ajaitwa
huu ni upuuzi CRDB msiige vitu msivyoviweza mtakimbiwa na kila mmoja.....

Jamani imagine mtu anafika na kupewa karatasi namba 578 wakati hata 180 ajaitwa
hamuoni hu ni ushenzi na uppuuzi wa ajabu.......,alafu embu watanzania sijui niwaite hawa
jamaa washenzi ama wamefika namba 363 dada anaeiita akachoka wakabonyeza mashine ikaakaa
kimya wasivyo wastaarabu hawa wanga wameshindwa kusema wamechoka watu wamekaa dk 10
awaiti ndipo zogo likaanza akaja kabinti mmoja amekomaa kama mbuyu wa pale mbuyuni kituoni
kuanzia 360-380 wapange folen so utaona huu ni upuuzi kwenye folen unakuta wa 380 anaanza
maana ya namba inakuwa ushenzi mtupu....

EMBU JAMANI BADILIKEN CRDB HUU NI UJINGA WA AAJABU KABISA TUBADILIKE MSITUTESE KWA KUWA ATUNA PA KUKIMBILIA NOW TUMECHOKA IPO SIKU WAJWAZITO WATAWAFIA NA WATOTO MLE NDANI WAKIZAA NDIO MTAJUA HII MSG NINAYOWAAMBIA

MWENYE SIKIO NA SIKIE ASEMA

PDIDY

why are you torturing yaself while there lots of banks??? Just quit or stay there and shutup
 
..Uendawazimu sio mpaka ujinyee ! Sasa hayo maelezo yana uhusiano gani na kanisa, ukimwi, wajawazito kuzaa ?
 
Kibaya ni kuhusianisha kanisa na hayo yaliyomkera huko CRDB. Ukweli ni kuwa wote hukerwa na vitu mbalimbali ambavyo kwa wengine vyaweza kuwa si kero kama ambavyo tumeshuhudia kwenye discusion hii. Lakini pia kanisa ni imani ya watu. Kama wewe si muunini wa kanisani, unaweza kuwa muumini wa sehemu nyingine ambayo usingepende ihusianishwe na mabaya, yawe ya kweli au ya hisia. Kwa kuhusianisha yale ambayo wewe unayafikiri kuwa ni mabaya na kitu ambacho watu wengine kwao ni sehemu takatifu. Huu ni ubinafsi. Jaribu kuwa na ufikiri unapojaribu kuwasilisha mada. Uweze kuoanisha vizuri heading na message unayokusudia. Be tinkful Pd
 
Mkuu kanisani hakuna namba hivyo kama una kisasi na kanisa anza thread nyingine useme ulicho nacho.
 
Wapendwa akuna asiependa globalization kama wanavyoita watanzania
ila kuna huu upupu ni hatari sana umekuwa ugonjwa mbaya kuliko ukimwi
hili swala la kugawana namba ni ugonjwa mbaya sana,,aiwezekani mtu anakuja saa nne
anachukua namba anaenda nyumban anaelekea airport na kurudi anakuta ajaitwa
huu ni upuuzi CRDB msiige vitu msivyoviweza mtakimbiwa na kila mmoja.....

Jamani imagine mtu anafika na kupewa karatasi namba 578 wakati hata 180 ajaitwa
hamuoni hu ni ushenzi na uppuuzi wa ajabu.......,alafu embu watanzania sijui niwaite hawa
jamaa washenzi ama wamefika namba 363 dada anaeiita akachoka wakabonyeza mashine ikaakaa
kimya wasivyo wastaarabu hawa wanga wameshindwa kusema wamechoka watu wamekaa dk 10
awaiti ndipo zogo likaanza akaja kabinti mmoja amekomaa kama mbuyu wa pale mbuyuni kituoni
kuanzia 360-380 wapange folen so utaona huu ni upuuzi kwenye folen unakuta wa 380 anaanza
maana ya namba inakuwa ushenzi mtupu....

EMBU JAMANI BADILIKEN CRDB HUU NI UJINGA WA AAJABU KABISA TUBADILIKE MSITUTESE KWA KUWA ATUNA PA KUKIMBILIA NOW TUMECHOKA IPO SIKU WAJWAZITO WATAWAFIA NA WATOTO MLE NDANI WAKIZAA NDIO MTAJUA HII MSG NINAYOWAAMBIA

MWENYE SIKIO NA SIKIE ASEMA

PDIDY

PDIDY utaratibu wa namba ni mzuri sana na nimeona sehemu nyingi unatusaidia mf. Azikiwe na Kijitonyama ambapo huwa naenda mara kwa mara. tatizo la mlimani city ni la kuzidiwa na wateja. na ni tatizo la mabenki ya pale ikiwemo NBC na NMB. Watu wanapenda kwenda pale
 
Kimei hii Benki sasa Inamshinda!!! Foleni kila mahali... sasa kama wanatamba wanapata faida kubwa sana..ni kwa nini basi wasifungue matawi mengine?? Kwa nini kuwatesa wateja??

Hutaamini ulifika mlimani City CRDB saa 2 kuna foleni nje ya watu 100 wanasubiria benki ifunguliwe saa 2.30!

NMB, CRDB, NBC ni kero tupu!!

Mimi nimehamia M pesa sasa tayari! Siwezi kutumia 3 hours kupata huduma tu benki!
 
Back
Top Bottom