Utaratibu mpya wa ticket CRDB hujakaa sawa

Wapendwa akuna asiependa globalization kama wanavyoita watanzania
ila kuna huu upupu ni hatari sana umekuwa ugonjwa mbaya kuliko ukimwi
hili swala la kugawana namba ni ugonjwa mbaya sana,,aiwezekani mtu anakuja saa nne
anachukua namba anaenda nyumban anaelekea airport na kurudi anakuta ajaitwa
huu ni upuuzi CRDB msiige vitu msivyoviweza mtakimbiwa na kila mmoja.....

Jamani imagine mtu anafika na kupewa karatasi namba 578 wakati hata 180 ajaitwa
hamuoni hu ni ushenzi na uppuuzi wa ajabu.......,alafu embu watanzania sijui niwaite hawa
jamaa washenzi ama wamefika namba 363 dada anaeiita akachoka wakabonyeza mashine ikaakaa
kimya wasivyo wastaarabu hawa wanga wameshindwa kusema wamechoka watu wamekaa dk 10
awaiti ndipo zogo likaanza akaja kabinti mmoja amekomaa kama mbuyu wa pale mbuyuni kituoni
kuanzia 360-380 wapange folen so utaona huu ni upuuzi kwenye folen unakuta wa 380 anaanza
maana ya namba inakuwa ushenzi mtupu....

EMBU JAMANI BADILIKEN CRDB HUU NI UJINGA WA AAJABU KABISA TUBADILIKE MSITUTESE KWA KUWA ATUNA PA KUKIMBILIA NOW TUMECHOKA IPO SIKU WAJWAZITO WATAWAFIA NA WATOTO MLE NDANI WAKIZAA NDIO MTAJUA HII MSG NINAYOWAAMBIA

MWENYE SIKIO NA SIKIE ASEMA

PDIDY

PDIDY Punguza munkari inaonekana wamekuuzi sana! Hio ndio bongo wasiliana na Charles Kimei aongeze matawi mkuu.
 
Natamani na mi nicoment kwa jazba kama ulivyopost....nini link ya post yako na kanisa?Bahati leo nimeamka na busara zangu za akiba.......mchana mwema.
 
Back
Top Bottom