Utaratibu mpya wa ticket CRDB hujakaa sawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu mpya wa ticket CRDB hujakaa sawa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 13, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,434
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  Wapendwa akuna asiependa globalization kama wanavyoita watanzania
  ila kuna huu upupu ni hatari sana umekuwa ugonjwa mbaya kuliko ukimwi
  hili swala la kugawana namba ni ugonjwa mbaya sana,,aiwezekani mtu anakuja saa nne
  anachukua namba anaenda nyumban anaelekea airport na kurudi anakuta ajaitwa
  huu ni upuuzi CRDB msiige vitu msivyoviweza mtakimbiwa na kila mmoja.....

  Jamani imagine mtu anafika na kupewa karatasi namba 578 wakati hata 180 ajaitwa
  hamuoni hu ni ushenzi na uppuuzi wa ajabu.......,alafu embu watanzania sijui niwaite hawa
  jamaa washenzi ama wamefika namba 363 dada anaeiita akachoka wakabonyeza mashine ikaakaa
  kimya wasivyo wastaarabu hawa wanga wameshindwa kusema wamechoka watu wamekaa dk 10
  awaiti ndipo zogo likaanza akaja kabinti mmoja amekomaa kama mbuyu wa pale mbuyuni kituoni
  kuanzia 360-380 wapange folen so utaona huu ni upuuzi kwenye folen unakuta wa 380 anaanza
  maana ya namba inakuwa ushenzi mtupu....

  EMBU JAMANI BADILIKEN CRDB HUU NI UJINGA WA AAJABU KABISA TUBADILIKE MSITUTESE KWA KUWA ATUNA PA KUKIMBILIA NOW TUMECHOKA IPO SIKU WAJWAZITO WATAWAFIA NA WATOTO MLE NDANI WAKIZAA NDIO MTAJUA HII MSG NINAYOWAAMBIA

  MWENYE SIKIO NA SIKIE ASEMA

  PDIDY
   
 2. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,072
  Trophy Points: 280
  sijaelewa
   
 3. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Pdidy
  Pole sana na kadhia hii iliyokupata hapo CRDB, please take a breath then, tulia kidogo then edit hii post ili tuweze kuilewa vizuri. Naona kama umegusia tatizo la kupewa namba kwenye foleni, lakini haijaeleweka vizuri maana yake umeunganisha mambo mengine.
  Ni maoni yangu tu baada ya kuipitia na kukukuta sijapata ujumbe uliokusudiwa vizuri.
   
 4. Pentest

  Pentest Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si zani kama unaelewa hiyo Technology.. Hakuna mdada anaye ita pale bro... Everything imekuwa programed ...utazoea tu hizo ndiyo huduma bora TATIZO LA SISI WATANZANIA HATUNA TABIA YA KUQUEUE ... USHAZOEA ZOGO KAMA MPO SOKONI VILE.
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  ulichokisema ni kweli!lakini hebu jaribu kupunguza jaziba!!infwakiti system hii wasingeifanyia uhuni na sisi wtumiaji tukaacha uhuni wa kuchukua namba na kurudi kuoga nyumbani ingesaidia!!lkn kwa style uliyoisema kazi badi ni ndefu!!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa kitu! Kwa maana hiyo mfumo huo usitumike? Hii ni bongolala sana. Mfumo huo upo sehemu nyingi. Namba inapoitwa AMA kuwa displayed isiyokuwepo hurukwa na kuhudumia nyingine. Nenda ubalozi wa UK hapo umoja hse ama US embassy wanatwanga mfumo huo. Mleta mada nadhani anapombe kichwani za mapinduzi!
   
 7. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mhh hata kama mtu anachukua namba na kwenda home kuoga, haiwezekani watu karibu 300 wawe wamechukua namba na kuondoka. Kuna namna hapa!!!
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,434
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  ni hivi mpwa,wamekuja na tekcnohama ya kupewa namba na hivyo ukienda kwenye dirisha unaitwa kwa namba..akika ni mahudhi maana kama nimefika saa nne nikapata namba alafu nikaenda hme -airport-back mliman site na still sijaitwa haya ni mateso jamani..sikatai lakini wenzetu wanafanya hivi wanakuwa wana counter za kutosha hapo southafrica counter zaidi ya kumi na..ukuti mtu anaitwa baada ya dk kumi.....

  Kibaya zaidi wafanyakazi wameanza kuutumiwa kupewa hela na watu wanaongezewa cha juu then wanapeeleka counter ndani kwa ndani unashangaa mtu amefika anatoka na hela wakati wewe umekaa zaidi masaa 4,,polen wengine atukufanya mtihan wa kishwahili
  ila naomba wabadilike...kingine mtu anaingia anachukua namba 550..akiwa anasubiri kuitwa anasikia namba 189..jamani jamani yaani 550-189 unaweza kujua anatakiwa asubiri watu wangapi...
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu naona umeandika kwa hisia dunia nzima!
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,434
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  Ahanste PASTOR!!
   
 11. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe.Kwenye thread hujaeleza ulivyooanisha CRDB na kanisa.

  Halafu ndugu unapokuwa na hasira jaribu kutoandika chochote kama email,barua ,kupiga simu au kuongea.Namaanisha ushikwapo na hasira jaribu kusubiri mpaka zimekwisha ndipo ufanye maamuzi,ona ulichokiandika hakieleweki ni sawa sawa tu ulikuwa ndani ya benki ya CRDB tawi la Mlimani City ukakasirishwa na huduma then ukatoka nje na kuanza kumsimulia mteja mwingine.

  Sisi sote hatukuwepo CRDB tawi la Mlimani City kwa hiyo unatakiwa ukae chini utulie na ku-edit thread yako,uanze na Introduction na then background fupi ya hiyo teknology.Baada ya hapo unaweza ukadiscuss ubaya wa huduma inayotolewa hapo CRDB tawi la Mlimani City.

  Mwisho ukatoa suggestion ambayo ita-hang kuruhusu wana JF wachangie AU unaweza usitoe suggestion na ukaiacha kama swali ili wana JF wachangie.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kanisa laingiaje hapo? Leta ufafanuzi!
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,434
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  REV,Soma vyema
  atuukatai mfumo ila tunaomba uboreshwe badala ya kumweka mtu masaa kadhaa..unaweza ona mtu anaingia anachukua namba 578 anasikia namba 189 nenda dirisha namba 2.unaweza jua atakaa muda gani..nafikiri wana muda wa kijirekebisha ..kingine ni upuzi wa kama wameamua kwa nini kila siku wakifika namba fulan wanakaa kimya sijui mashine imegoma kusema ama la...watu mnaanza kuulizana mbona awaiti tena gafla unamwona mbinti anakuja kuita namba 220-240 kazi ipo kwa kweli..na kama unafaa kwa nini wasitumie CRDB zote na mjini na vijijini wamaue baadhi ya matawi
  Jiulize
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,434
  Likes Received: 5,691
  Trophy Points: 280
  unantafutia BAN eeehhhh ilikuwa 2010
  uko siji tena mpaka 2012 jan
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pdiddy hii ni crap uliyopost! Samahani jaribu kuweka staha! Kanisa gani hutoa namba? Pumba bin crap hizi
   
 16. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Nickname you are quite right!!
   
 17. H

  Hume JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Kwangu mimi naona huu mfumo ni bora kuliko wa kukaa foleni. Unaingia benki, ukiona namba yako iko mbali sana unaweza kukadiria itachukua muda gani kabla namba yako haijafika then kama unashughuli nyingine ya kufanya katika kipindi hicho unaenda kufanya kisha unarudi kuchukua huduma yako.

  Mimi niliwahi kuingia CRDB tawi la Millenium towers, baada ya kuona namba yangu iko mbali na kuna mtu ananisubiri Kimara, nikaenda kuattend issue ya Kimara baada ya kama saa mbili nikarudi nikakuta bado watu kama ishirini namba yangu ifikiwe nikasubiri nikapata huduma.

  Kitu ambacho mabenki yetu yangefanya ni kutafuta namna bora zaidi ya kupunguza muda wa mtu kukaa Benki kana Kwamba kwenda benki ni kazi ya siku nzima, either wafungue matawi mengi zaidi kama wakiona wateja wamekuwa wengi au waongeze mashine za kuingiza hela( ATM).

  Wafanye study kujua ni huduma zipi zinazosababisha watu wawe wengi ndani ya benki kwani kama kuchukua hela ATM zipo, kama watu wanahitaji kuchukua kiasi zaidi ya kinachoruhusiwa na benki basi wakiongeze nk nk
   
 18. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mmefanya kwenda mlimani city kama outing.

  Watu wengine bana, unafunga safari kwenda Mlimani City kwa ajili ya huduma ya bank tu! Except kwa Jumapili na extra hrs wanazofanya hapo Mlimani city, na kama si lazima sana kutumia CRDB Mlimani City, CRDB UDSM branch ipo .
   
 19. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Mbona sielewi???

  basi andika hata kizungu mzee, crdb imegeukaje kanisa??? hizo namba za kwenda wap? kuweka au kukopa? watumiaji wa CRDB Tz em nieleweshwe.
   
 20. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Concept ya kutumia namba ni sawa kabisa. Lakini CRDB Bado hawajafkia hatu hiyo. Kuna wakati Pale kijitonyama walicha siku moja kuita namba foleni ilikuwa inasogea. Hizo namba zipo still kuna watu wankuja wanachukua namba na bado wanaenda straight kwa counter na kuhudumiwa huku wakitia story dakika nyingi tu. hiyo ndo inayoniudhi.
   
Loading...