Utapiga kura mwaka huu?

Tuambizane Binafsi sitapiga kura
ni muhimu sana wananchi wenye sifa na vigezo stahiki vya kikatiba, kushiriki uchaguzi mkuu wa October mwaka huu kikamilfu bila kukosa. Ni jambo la maana sana hilo 🐒
 
Haito saidia chochote maana wana mtu wao tyr. Mi nitauza kura yangu .
 
Bila tume huru inayojitegemea, kupiga kura ni kupoteza wakati.

No reform no Election.
 
mazezeta pekee ndo yatapiga kura,...
 
muwatengenezee kina abduli na ukoo wake maisha nyie muendelee kula vumbi endeleeni tu maaneeneeer zenu.
 
Mimi msimamo wangu tangu 2019 ni huu hapa;
Sipigi mpaka pale nitakapo jiridhisha pasi na shaka, kuna tume huru ya uchaguzi! Na hivyo kura yangu nitakayopiga itaheshimiwa.
 
Mimi nitampigia mama ssh mitano tena kwake aliyoyafanya Kwa watz ni mengi mama Hana baya
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…