Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,224
- 9,829
Kwa maficcm wa Lumumba Street ni sawa. Wewe piga kura yako itahesabiwa ni CCM lakn hata wasio CCM bado kura zao zitahesabiwa ni za CCM..............UCHAFUZI kwenda mbele!!me ntapiga na ntashawishi watu wangu wa karibu waweze kupiga pia
Never sitanyanyua mguu wangu kwenda kupiga kura.Tuambizane Binafsi sitapiga kura
Mimi nitapiga kura kumpigia Gwajima.Tuambizane Binafsi sitapiga kura
Mimi nitapiga kura kumpigia Gwajima.
NRNETuambizane Binafsi sitapiga kura
Vitu anavyoongea huyu bi mdashi ni kituko