Utapeli wa wanawake..

Tayari kakuachia manyoya inaumaa sana atakama ingekuwa buku pole sana mkuu siku nyingine usiwe boya akikuomba ela ya kula mualike restaurant ya jirani akimaliza kula tu na wewe unaenda kumla.
 
Hee lakini demu kapata alichokuwa anakihitaji maana shida yake ilikua hiyo 20k tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
bulaza ukute hata sio demu mjini hapa...kuna vijana ni SCAMERS kazi yao ni kutafuta watu kama nyinyi huwa hawakosi mpaka laki2 kwa siku
 

Si kashiba, atakucheki akiwa na njaa, kwani hiyo 20k ulikuwa umelipia yeye kupokea simj au umemsaidia kula ndugu?
 
Alafu huwa wanadanganya na kusahau walichoongea,
Wewe mtu anakwambia yupo nyumbani kwa wazazi na baba ni mkali hawezi kutoka,
Hapohapo anakurupuka kuomba hela ya gesi!!
Yaan Mimi demu akiniomba hela kipumbavu huwa namchunia na kufuta namba!
 
Mkuu watu kama hao unawatumia jiñi makata tu. Huko aliko ataacha ujinga

Unakuta mtu anakimbia kwa hela ya kubadilishia condom kumbe sometimes unataka tu aje mpige story za hapa na pale tu
 
Hahahaa pole mwaya labda zipo sababu zayeye kushindwa kupokea simu,usitoe hukumu mapema hivyo pengine anaweza kukutafuta tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mjinga huyo. Anapiga sana hela kwa style hiyo.
Jenga picha anapata watu 5 tu kwa siku. Jumla anaingiza laki na je vipi kwa wiki mara mwezi.
Ndio mbinu zao siku hizi hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu BILGERT mbona unapoteza umakini sasa? imekuaje banaa. Sasa wewe wiki tu unataka kwenda kula mzigo kaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…