Utapeli wa wanawake..

Kuku wa kienyeji huyo kazoea kupewa buku mbili na wavaa mlegezoo, sio hapo kajiona mjanjaa... Nishakutana nao sana hao.

Kinachonichekeshaga unakuta mtu kumbe umetoa hata hujaitilia maanani
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake me sijui nawaonaje yaani wanapenda hela kama nini! Ndo maana me mwanamke akiniomba hela naweza kumtukana kabisa
 
Wewe mwenyewe ulikosea, alivyokuambia sijala ungemwambia njoo tutakaa sehemu utakula na kunywa hapo ungekua ushaondoa mazingira ya kutuma pesa na kutapeliwa.
 
Mademu wa Mtandaoni wengi ni Madume wanaweka picha za kike ukiingia kingi ukamtumia imekula kwao utakuja hadithia tu
 
Msichana akiwa hakutaki hupenda kukukomesha kwa kukuomba hela hovyo ili ujikatae mwenyewe!
mie kuna 1 baada ya kunikubalia asubuhi ananambia gesi imeisha akala 25, kesho akaleta maneno ya njaa inauma akala 15

kilicho fanya nitoke mbio, ni pale alipo nambia " anaweza hairisha masomo kwa kukosa ada ya muhura ujao" nkaona nsha kua babake wakati hata rangi ya pichu sijaiona

kabaki kupata hela ya vifurushi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…