Utapeli wa wanawake..

kafanikiwa sana akipata watu 20 mmemtumia hiyo?
 
Inabidi tupimwe mikojo kwa kweli, unakuta mama mzazi hata vocha unamwambia sina hela mama dah
 
Kwangu kama dem anahitaji pesa yangu anaichukulia guest.
Sina muda na maeneo mengine.

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi tupimwe mikojo kwa kweli, unakuta mama mzazi hata vocha unamwambia sina hela mama dah

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bora yenu nyie..ht wanawake wanahitaji sana kupimwa mikojo yao mkuu
 
Mi sitaki shobo na hela zang now day ukiomba hela nakuchana makavu tuuuu lbda uombee kwa bed [emoji932] hapo sawa takupa sio nje ya hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe kaona hauko serious, 20[emoji134][emoji134][emoji134]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…