DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,353
Muamala wa mwisho kuufanya ni lini? Inawezekana hata ndugu wa karibu kahusika. Lazima alikuwa na password aisee. No other way hapo. Itakuwa walimlia njaro kwa muda.Hakufanya muamala wowote. Simu ilikuwa kwenye pochi muda wote, aliitoa alipooombwa apige simu.
Mkuu walimlia njaro vipi. Hatumjui tulikata siti hapohapo Ubungo akapewa siti namba. Kwenye hiyo siti ndo tukamkuta huyo Kaka amekaa.Muamala wa mwisho kuufanya ni lini? Inawezekana hata ndugu wa karibu kahusika. Lazima alikuwa na password aisee. No other way hapo. Itakuwa walimlia njaro kwa muda.
Unataka nikwambie ili na ww ukaibie watu au ? Siwez kukueleza kwa shinikizo la mihemko yako we endelea kutokuaminiLazima mtu aone ukiiweka... basi. Nyingine ni ipi. Acha kuwa mzinguzi na mwongo aisee
Hayajakukuta mkuu. Matapeli wanajua wanachofanya, wako very fast. Huo muda anajifanya anaandika namba apige ndio muda aliotumia kuingia tigopesa na kutuma pesa. Alitumia si zaidi ya dakika 2 akarudisha simuHiyo ni kiini macho hata mimi sielewi kapigwaje, maana sitaki kuamini kama mama alimpa password, pia mtu mpaka aingie kwenye huduma ya tigopesa afanye muamala huoni tu
Sijaelewa. Kama ni hivyo huyo Kaka alijuaje tunapanda Hilo bus , alijuaje tunasafari hiyo siku, Alijuaje seat namba?? Nadhani Ni mchezo unaofanyika kivingine Hawa wanalenga wasafiriNgoja niwasaidie ipo hivi ni rahisi mchezo unaanzia kwa mawakala,wakala anakuwa na watu wake wa dili kila mkoa,ukisafiri kwenda dar na nakujua umetoka dom ulishatoa pesa kwangu najifanya salio halijafika kwangu ndaomba simu yako ukinipa kuna vitu nanote vinavyoniwezesha kwenye kazi yangu
Wazee hebu ngoja niishie hapo maana mi mwenyewe ndo mishe nimepata kama wiki nisije kosa kula ila ni mbinu mpya na mtalia wengi subirin
Sijaelewa bado. Mtu asafiri kutoka mkoani Hadi Dar kwaajiili ya kutapeli hela ya tigo pesa. Mama amekaa dar siku 4 tu na siku zote hizo hakuwagi kutoa pesa Tigo pesa alinunua salio tu.Inawezekana kuna mahali mama alienda kutoa pesa lakini kama unavyojua sometimes wamama wazee huwa wanaomba kusaidiwa kufanya miamala na Wakati mwingine namba ya siri huwa wanatoa pia
Kwahiyo inawezekana kuna mahali mama alifanya hivyo na aliyemsaidia akashawishika baada ya kuona salio lililobaki kwahiyo huwenda labda alimwambia mtu mwingine hiyo password na ndiyo huyo aliyekuja kumuibia mama
Hapana hakuisaveAu mama namba ya siri alisave au ilikuwa kwenye sms.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mkuu hapo umeshataja pasword zangu mbili.Kuna namba zasiri ambazo ni common mfano umri wa kuzaliwa mtu akichukeki tuuu akabuni mfano 1987 au anageuza 8719...kuna 1000,,, 2000,,,2580,,,,1234.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Tumepiga customer care wamesema muda pesa uliyotumwa. Ndio muda huo tukiwa kwenye busNjia ya kujua password ipo ila kutokana na maelezo yako chunguza ni sangap huo muamala ulifanyika labda Kuna mtu alimuibia mama yako kabla hata ya kukutana na jamaa, huwenda Jamaa hajashiriki uwizi huo
Ukiwa na simu ya mtu unajuaje namba ya siriMbona ni rahisi sana kujua namba ya Siri, ila siwez kuweka waz hapa nisije kushiriki dhambi ya wizi
Kwa hiyo mawakala tupo kwenye genge la wizi.Ngoja niwasaidie ipo hivi ni rahisi mchezo unaanzia kwa mawakala,wakala anakuwa na watu wake wa dili kila mkoa,ukisafiri kwenda dar na nakujua umetoka dom ulishatoa pesa kwangu najifanya salio halijafika kwangu ndaomba simu yako ukinipa kuna vitu nanote vinavyoniwezesha kwenye kazi yangu
Wazee hebu ngoja niishie hapo maana mi mwenyewe ndo mishe nimepata kama wiki nisije kosa kula ila ni mbinu mpya na mtalia wengi subirin
Hakufanya muamala wowote. Muda wote tangu tuingie kwenye bus simu ilikuwa kwenye pochi. Aliitoa alipoombwa apige simujamaa alipokaa siti ya nyuma mama hajafanya muamala?maana kama alikuwa siti ya nyuma inawezekana ameiona namba ya siri.Jingine inawezekana alimpigia mtu simu ili apate namba ya mama,then huyo mtu aliyepigiwa hakupokea akapiga simu akijidai ni Tigo customer care wakamuibia.
Wa wa makampuni wanahusika kwa njia moja au nyingine maana huwa hawa watu walikuwa ni staff wao wamewafukuza au wameacha kazi maana wanakuwa wanajua unapesa kiasi gani kwenye simu.
Kuna siku kama tatu mfululizo kipindi cha nyuma nilikuwa napigiwa simu sana na watu wakijidai ni watu wa airtel huduma kwa wateja.Wakawa wananiambia kuna bonas nimepata wanataka wanitumie kwa sababu natumia airtell money,,mara wakaniuliza kama ni smartphone au ni simu ndogo kwa sababu ntatakiwa kuingia kwenye menu ya mpesa.Niliwajibu ni na simu ya pili wakapiga simu ya pili niliwapa namba.wakaanza maelezo yao ingia kwenye menu chagua namba sikumbuki ngaapi nikachagua wakasema chagua tena namba nyingine nikachagua wakaniuliza namba fulani inasemaje nikawaambia ina sema qumer la mamaako wakacheka wakakata simu.Jioni yake na kesho yake na keshokutwa yake namba tofauti zikawa zinanipigia nawapa jibu hilohilo
.Nikachunguza nikagundua tatizo lililopo.Kwenye simu nilikuwa na pesa nyingi sanakaribia 2m.Nilijiuliza wanajuaje kiasi hiki cha pesa wanahangaika nikagundua lazima wanaconnection na watu wa mitandao wanaambiwa balance za watu.Pesa hizo zilikuwa za manunuzi ya ofisi nilipozitoa na kuzitumia hadi leo sijapata simu ya usumbufu.Muulize mama kwa upole akueleze anajisikia vibaya utachukia labda na wewe anajua utaumia kukiwa na uzembe aliofanya.
Aaaaaaaaaaa....ndo hivyo mtu akikuotea lazima useme n mchawi.....na watu wanazipenda sababu n rahisi kukumbuka.Mkuu hapo umeshataja pasword zangu mbili.
Ulisafiri na mama safari yote?Njiani hakupigiwa simu na castomer care fake?Hakufanya muamala wowote. Muda wote tangu tuingie kwenye bus simu ilikuwa kwenye pochi. Aliitoa alipoombwa apige simu
Ww ni mpumbavu sana. Tena MCHEZA KAMARI ndio username ulioona inakufaa. Mjinga sana ww. Wacheza kamari mnataka hela za bure tu na hata wizi haushindwi ww. Pita hiviUnataka nikwambie ili na ww ukaibie watu au ? Siwez kukueleza kwa shinikizo la mihemko yako we endelea kutokuamini
anaweza akawa hakupiga simu bali ali-run USSD Code akapata analolitakaCha muhimu uje namba iliopigwa
Nakuunga na makamanda wa cyber crime