Utapeli mtandaoni: Matapeli wanajuaje namba ya Siri?

Marahaba kijana mama yake amenizidi maybe mwaka na nusu
Ila mkuu wanawake wanawahi kuzaa. Hapo alipo anamjukuu tayari, Sasa sijui wewe first born anaumri gani.
 
Mkuu naomba uelezee kiundani zaidi how it works. Utasaidia wengi Sana kuepuka kuibiwa
Ok kwanza kwa njia hiyo lazima network provider ahusike maanake yake engineers wake wenye tamaa kutoka kampuni hizi ndio washukiwa wa kwanza.

So hapo hutengenezwa USSD code ambapo lazima kuwe na USSD gateway ambayo itarun kweny linux server sio lazima iwe server kubwa na server ambapo ili zifanye kazi ya kuattack hizo USSD lazima ziunganishwe na network provider husika ndio maana nikasema wao ni washukiwa namba moja.

So hapo zimeandikwa code ambazo zitapull taarifa zote muhimu za mtu ambamo ile USSD imetumwa (katika simu ya muhanga) ambazo hizo code zitafanya kazi kutokana na zilivyoandikwa mfano kwanza zicheck pesa kama zipo zirudishe jibu kwamba zipo kiasi kadhaa so ingiza namba ya mpokeaji kuhamisha salio kama hakuna hairudishi jibu/menu ya kuingiza namba.

So issue ya password inakuwa ni tweaked and skipped katika code hizo.

So at a time ameazima simu apige kumbe yeye anaandika USSD code ambayo akirun inamletea jibu so atafanya kulingana na kile kilichorudi.

Ipo hivyo nimeandika juu juu tu.

Ila USSD skimmer ni tofauti na ATM skimmer.
 
Asante Sana kwa ufafanuzi mkuu. Wafanyakazi wa mitandao ndo washukiwa namba moja kushirikiana wezi.
 
Adms if possible muattach hii comment kwenye Uzi. Inamaelezo mazuri Sana nliyoyahitaji kwenye Aina hii ya utapeli
 
Hako kamtandao hako kana siri nzito, lazima u connect dotes ndio utalewa wanavyotuibia
 
Nimepata ufafanuzi mkuu. Jinsi hela kwenye simu zinavyoibiwa through USSD maengineer wanashirikiana na wezi. Soma comment 109 kaelezea vizuri Sana
 
Habari zenu wakuu.

Jana mama yangu katapeliwa hela kutoka TigoPesa. Nilimsindikiza Ubungo mida ya mchana tukapanda basi kwenye ile seat aliyokaa tukamkuta mkaka amekaa dirishani kwasababu mama siti yake ni dirishani na tulikuwa tumewahi sana, akatupisha akasema nawaacha mkae pamoja kidogo mpige story siti yangu ni ya pembeni akaenda siti ya nyuma.

Baadae kidogo akarudi ikabidi niinuke nimpishe akae siti yake. Akamuuliza mama unasalio naomba nipige mama akijua ni msafiri mwenzake akampa simu, akajifanya nampigia hapokei akarudisha Simu, Mara hiyo hiyo akashuka akasema Naenda kununua vocha.

Jioni mama amefika nampigia ananambia yule mkaka hakurudi kwenye bus. Ile siti haikuwa yake alikuja kukaa mtu mwingine, nawaambia siti Ina mtu Hadi konda akaja akasema hii siti sijaikatia ticket.

Nikas-ense something is wrong nikamwambia mama ameshika simu yako na hakurudi kwenye bus kuna kitu kafanya angalia salio lako la TigoPesa. Kweli kuangalia salio limekombwa loooteeee.
Tuliangalia Taarifa ya miamala pesa imetumwa namba 0719169535 na muda uliyotumwa Ni muda ambao Tulikuwa ndani ya bus. Kweli imetuumiza sana

Usalama wa pesa zetu kwenye mitandao ya simu upoje? Hawa wezi wanajuaje namba zetu za siri?

Mimi nimeogopa kwenye simu saivi siachi zaidi ya elfu 5 na kujifanya mwema kumpa Sim mtu nisiyemjua never.
Walitoa shs ngap???

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hakufanya muamala wowote. Simu ilikuwa kwenye pochi muda wote, aliitoa alipooombwa apige simu.
Tatizo unalazimisha tukubaliane na wewe.

Kama alifanya muamala jana yake???

Kama alifanya muamala akiwa kwenye daladala akielekea stand jamaa akaona password akamfuatilia????

Think Beyond Your Thinking Capacity
 
Kwani kusema kilichotokea ni kulazimisha mkubaliane na mimi. I'm speaking the facts kwa kilichotokea ndio nipate msaada wa what might happen. Hatukupanda daladala tulipanda Uber kwenda Ubungo na hakufanya muamala wowote tangu afike dar zaidi alinunua salio kupitia tigopesa tukiwa nyumbani.

Na nishapata msaada wa what Happened na wajuzi wa Tehama tayari. Hizo theory za kufikirika hazikutumia katika utapeli huu Soma comment 109 kaeleza vizuri.
 
Amna Aliomba apige sim tu. Akajifanya anapiga Kumbe ndo anahamisha muamala.
Mkuu jibu ni rahisi tu, ngoja nikueleweshe ili siku nyingine uwe makini, ni hvi kwenye simu yako namba unayoitumia mara kwa mara huwa inajisave, hasa kwenye upande wa kufanya transaction za miamala ya cm, ukiingia process zote na ikabakia process moja ya kuweka namba ya siri, ukibonyeza namba yoyote ile iwe moja saba or whatever, lazima namba yako ya siri itadisplay kwenye screen ya simu yako so kwa alichofanya tapeli wako alibonyeza namba yoyote na password ikajidisplay akaiclic ngona ikasoma na akahamisha mpunga wote, mpe maza pole mkuu.
 
Unajua hizi smart phone Mara nying zinaweka mambo hadharani bila sisi wenyew kujua. Kupitia Keyboard za simu, zina tabia ya ku-save maneno tunayotumia Mara kwa mara, zinasave hadi password muhimu.
Usikute jamaa katumia mwanya huo kukomba salio.
Tuwe makini ... Mitano Tena
Jibu liko hapa mkuu
 
Mkuu jibu ni rahisi tu, ngoja nikueleweshe ili siku nyingine uwe makini, ni hvi kwenye simu yako namba unayoitumia mara kwa mara huwa inajisave, hasa kwenye upande wa kufanya transaction za miamala ya cm, ukiingia process zote na ikabakia process moja ya kuweka namba ya siri, ukibonyeza namba yoyote ile iwe moja saba or whatever, lazima namba yako ya siri itadisplay kwenye screen ya simu yako so kwa alichofanya tapeli wako alibonyeza namba yoyote na password ikajidisplay akaiclic ngona ikasoma na akahamisha mpunga wote, mpe maza pole mkuu.
Hiyo n kwasimu janja tuuu???

Mkuu Soma comment 109 kaeleza vizuri. Nadhani hicho ndo kilichotokea
 
Back
Top Bottom