elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Ushaa ambiwa future banking ina maana not present/existing jua wako kwenye majaribio ya kitu flani. Sasa mwanzisha threat umetapeliwa nini hapo au kuona una laki nane ambayo hukuweka ukataka kutoa ikashindikana???I
hahahahahahahaha!hilo nalo neno,wa2 wana zimezea mate hzo pesa wengne wanajarbu kuzihamishia kwenye M-pesa.
Sijui na yeye alikuwa anatafuta nini kubonyeza hiyo namba huku haina promotion.. Hawa ndo wanaojisajili freemanson alfu wanasema hawakujua.
Naomba niwekwe sawa ama nielekezwe kwa kina kabla sijaingia mkenge kuhusiana na huu utapeli wa vodacom,Tukiachana na huduma ya M PESA ambayo code yake unabofya *150*00# then unapata menu yake.Ila bado cjaipatia vema hii huduma ambayo ina code *150*55#.Hii code ukibofya inakupa ''Welcome to future Banking MBanking,Please enter PIN,na Ukijibu kwa PIN namba 1 inakupa select ,Balance check,My crdt card,mobile money,Transfer to m pesa,.......na ukicheki balance kwa kuweka ile PIN namba 1 unakuta mzigo wa salio la laki nane.ukihamisha kwa mpesa haiendi,Hili ndo limenifanya nigombane na keypad kupost nikiomba tueleweshane kwa anayeelewa hili,kuna uvumi eti hizi ni pesa za mafisadi wamezificha huku kwenye lain zetu,coz hii ni kwa lain zote za vodacom,wataalam shuken mtujuze maana tusije ingia mkenge.
Cjakuelewa bado maana ukijaribu kwa Airtel na Tigo ni the same sasa Mpesa inatoka wapi? labda uniambie Mbanking stand for Mobile bankingvodacom mpesa na crdb wameingia mkataba now unaweza tuma hela za mpesa kwenda acount ya crdb au kutoa hela crdb kwenda mpesa now wanatest mitambo acheni tamaa
Cjakuelewa bado maana ukijaribu kwa Airtel na Tigo ni the same sasa Mpesa inatoka wapi? labda uniambie Mbanking stand for Mobile banking
nlifikiri umeweka hela afu hazitoki......kumbe umezikuta humohumo!! unawezaje kuvuna kama hujapanda chochote....!!:nono:Naomba niwekwe sawa ama nielekezwe kwa kina kabla sijaingia mkenge kuhusiana na huu utapeli wa vodacom,Tukiachana na huduma ya M PESA ambayo code yake unabofya *150*00# then unapata menu yake.Ila bado cjaipatia vema hii huduma ambayo ina code *150*55#.Hii code ukibofya inakupa ''Welcome to future Banking MBanking,Please enter PIN,na Ukijibu kwa PIN namba 1 inakupa select ,Balance check,My crdt card,mobile money,Transfer to m pesa,.......na ukicheki balance kwa kuweka ile PIN namba 1 unakuta mzigo wa salio la laki nane.ukihamisha kwa mpesa haiendi,Hili ndo limenifanya nigombane na keypad kupost nikiomba tueleweshane kwa anayeelewa hili,kuna uvumi eti hizi ni pesa za mafisadi wamezificha huku kwenye lain zetu,coz hii ni kwa lain zote za vodacom,wataalam shuken mtujuze maana tusije ingia mkenge.