Utapeli mpya kupitia kampuni ya Azam

Utapeli mpya kupitia kampuni ya Azam

Hapo hata mimi nimeona mleta stori katupiga kamba
Hivyo ndo muhimu kwako? Point ya hii tahadhari sio vitu vilivyoibwa! Nikuwa alert watu juu ya mbinu mpya ya utapeli! Kama wewe kwako muhimu Ni thamani ya vitu vilivyoibwa! Hiyo sio muhimu kwa wengine, ndo maana mpo wawili Tu mnaohoji nonsense issues! Unadhani nimeingiza kiasi gani kudanganya hapa?
 
Hata kama, ila chumvi nyingi huaribu ladha ya mboga
 
Hii stori yakutunga kabisa.unaleweshwa na kuporwa vitu vya thamani ya mil 5 kwenye daladala?.Hyo gari haina kondakta,dereva wala abiria wengine?.au lilikuwa porini ?.
INAVYOONEKANA TAPEL ALICHOFANYA KWANZA NI KUHAKIKISHA ANAWAONYESHA ABIRIA KUWA ALIE KAA NAE NI WAMOJA SO HATA ALIEIBIWA ALIPOZIMIKA, TAPEL " ALIMMILIKI" KMA MTU ANAEMFAHAMU NDIPO ANAPOWEZA PATA MWANYA WA KUMCONTROL KWA LOLOTE....NA KUPELEKEA KUMWIBIA.
 
Badooo kabisa hujanishawishi.hii muvi ina plot holes nyingi sana
 
Inabidi ufungwe kwanini anatembea na pesa zote hizo kwenye madaladala
 
Kinachonishangaza Kwa Binadam wa Kitanzania ni binadam ambae hayupo sehem yoyote n binadam tofauti na wengine Ni Tanzania tu unaeeza kuta mtu hamjuani mnaanza kuanzisha Stori tena sometimes za Siasa na Ndo Upuuzi hii hali iko Bongo tu na Kama alikua na ishu za Kuuliza mambo ya Azam why asingeenda kwenye ofisi zao Puuuumbaaaaaav
Mkuu umenena. Huu ujinga wetu watanzania kujifanya kuzoea mtu haraka ni wa kijinga sana. Mimi baada ya kusafiri safiri na kuona watu wa nchi nyingine mtu hawezi kunizoea kabisa hata kama nilikuwa namjua zamani. Nchi nyingine hata kuuliza njia inabidi uulize kwa makini kwani wengi hawatakusikiliza hasa kama mazingira ni tatanishi. Sasa hapa mimi nimebaki naduaa eti mtu anaambiwa aonje kinywaji na mtu asiyemjua halafu anakubali. Kwangu mimi hata kusalimia kwa kumpa mtu mkono ni marufuku unless tunajuana.
 
Bongo tushazoea kuchukuliana poa nenda nchi jirani kama unaweza uliza mtu hata mtaa wapili watu wako bize na mambo yao ndo maana hapa bado tunaish maisha ya karne ya 19
 
[QUmini "HKBW, post: 16163416, member: 17862"]Chumvi kwenye stori[/QUOTE]
Ya nini mimi chumvi sasa?
 
Watz tulifanywa ndugu moja wanaozungumza lugha moja ya kiswahili lakini upande wa pili hii pia ni hasara ya kuaminiana km ndugu. Nchi nyingine huwezi kuona utapeli huu wa kuaminiana hivi huku hamfahamiani kabisa.
 
Mkuu umenena. Huu ujinga wetu watanzania kujifanya kuzoea mtu haraka ni wa kijinga sana. Mimi baada ya kusafiri safiri na kuona watu wa nchi nyingine mtu hawezi kunizoea kabisa hata kama nilikuwa namjua zamani. Nchi nyingine hata kuuliza njia inabidi uulize kwa makini kwani wengi hawatakusikiliza hasa kama mazingira ni tatanishi. Sasa hapa mimi nimebaki naduaa eti mtu anaambiwa aonje kinywaji na mtu asiyemjua halafu anakubali. Kwangu mimi hata kusalimia kwa kumpa mtu mkono ni marufuku unless tunajuana.
Ndo mana hata mijitu mingine inatongozana na kupelekana gest bila hofu ya kuibiwa mali, kufanywa vibaya na hata kuuawa...watz tubadilike mwe!!
 
Jamaa yangu amepanda Daladala, akisubiri abiria wajae ili Bus liondoke, baada ya muda anaingia jamaa akiwa amevaa T'shirt ya Azam, Kofia ya Azam, in short yuko uniform kwa Sale na akionekana anafanya kazi Azam, smart vya kutosha.

Jamaa anaingia na kukaa siti ya mbele yake, baada ya muda ananyanyuka na kuja kukaa siti moja na jamaa yangu, baada ya salam na story mbili 3 jamaa akajitambulisha anafanya kazi Azam, jamaa yangu Ana kampuni yake inayojishughurisha na kazi flani, akatumia nafasi hiyo kuuliza mambo flani kuhusu Azam kuona kama anaweza anaweza kupata connection yoyote, baada ya story za hapa na pale mdau wa Azam akafungua begi akatoa Juice ambayo ilikua kwenye Kopo kama la Heineken vilevile, mdau akalifungua akaanza kunywa, akamwambia Jamaa yangu, Azam wana bidhaa mpya, na wao wanapita mitaani kupata Mawazo ya wadau kuhusu bidhaa mpya kabla hawajaingiza sokoni.

Akafungua begi akatoa kopo jingine akampa yangu, jamaa akaanza kusoma Maelezo yote yaliokua kwenye ile label, Ina nembo ya Azam kama kawaida, Jamaa yangu baadaye akaiweka kwenye begi lake akisema ataionja akifika home vile hapendi kulakula njiani, but baadaye akaona atakua hajamtendea haki jamaa, coz mdau angehitaji feedback, basi akaamua kunywa, akamwambia Ni nzuri sema Ina uchachu flani ambao haoni kama Ni mzuri....zilipita dakika kama 10 akazima, kuja kuzinduka baada ya siku 3 wamebeba vitu vya thamani kubwa na pesa, simu n.k jumla 5 millions na ushee!

Police wakamwambia kesi ya aina yako Ni ya 4, Muhimbili walimwambia wewe Ni mtu wa 6 kwa tatizo kama lako!

Tuwe take care Wadau!
Mkuu hebu orodhesha vizuri vitu alivyo ibiwa!
 
Back
Top Bottom