Utapeli mpya kupitia kampuni ya Azam

Utapeli mpya kupitia kampuni ya Azam

Mara nyingi wanaoingia kwenye mtego wa kutapeliwa, wengi wao wanakuwa ni sabab ya TAMAA, HALAFU VITU VYA 5M, Hebu tuorodheshee ni nini na nini? yani mtu ana tembea na vitu vya 5m hata ka vitz huna.? nawaza tu, madaladala tuachieni sie jamani. KWA GHARAMA YA VITU ALOPORWA HAPO ANGEONGEZA KA 2M au 3 m angekuwa na gari yake.
 
So ulifanikiwa kufika home? Issue ilitokea home, Kwenye daladala au mtaani?[/QUOTnilifanikiwa sikukubwa na mkasa huuu mbali na home lol nilipanda bodaboda mpaka home nikafika kwa mangi nikaomba atoe buku mi nikazama ndani..... yaani nilikuwa nayumba na siwezi kuongea japo kwa muda mchache jirani yangu ananisemesha namkodolea macho tuu yaani nilipopata fahamu ndo aliniambia nalikuwa ananiongelesha mi nimelegeza macho tu nahangaika kufungiua mlango mpaka akanisaidia ....kufungua
 
nimeghairi ila namshukuru mungu nilizima home siku 2 ka`zini natafutwa sipatikani maana niliibiwa pochi kwa ujumla wake wakasaka kwenye file langu wakaktuta namba ya bi mdashi ikabidi mama ampigie baba wa mtoto wangu. akawapigia majirani bahati nzuri nilizimia sebuleni bila kufunga mlango ... wakanikuta nimekuwa mweusii nadhani nililishwa sumu ya kutosha nikaenda kuflash sumu mwilini maana nilibadilika kabisa ... na nikawa kama naelea angani wiki mzima sikuwa sawa mawenge na maumivu makali sana ya kichwa
Eeh Bhana eeh! ....I'm speechless! Pole mkuu
 
Kwa hii shida ya sukari..watakuja na mpya kuwa kuna sukari mpya imeingia tutest kwa kuilamba....
 
Mara nyingi wanaoingia kwenye mtego wa kutapeliwa, wengi wao wanakuwa ni sabab ya TAMAA, HALAFU VITU VYA 5M, Hebu tuorodheshee ni nini na nini? yani mtu ana tembea na vitu vya 5m hata ka vitz huna.? nawaza tu, madaladala tuachieni sie jamani. KWA GHARAMA YA VITU ALOPORWA HAPO ANGEONGEZA KA 2M au 3 m angekuwa na gari yake.
Mkuu hii upelelezi wa hii issue unaendelea, hivyo vingine sio muhimu, muhimu ilikua kuwataadharisha wengine, si unaona kuna watu wawili hapa wameshaibiwa kwa the same technique!!?
 
e
Eeh Bhana eeh! ....I'm speechless! Pole mkuu[/QUOTE
nilitoka job jioni nikaingia pale hospital ya tabata shule kufanya magumash ili nipate kadi ya hospt niilete hapa job maana enzi hizo tulikuwa tunarudishiwa hela kabla hatujaanza kutibiw kwa bima .............
ile natoka tu getini mtu akaniita jina langu akiwa kwenye noah kwenye foleni ,mwe hapo ndo filamu iliponzia ,,, nashkuru mungu pioa nilikuwa sinywi pombe kipindi hicho..ilikuwa mwaka juzi mwezi wa 7 hivi
 
Labda jamaa mgeni mjini....

Hivi unaanzia wapi kunywa ???
Mimi bado naamini aliye ibiwa ni mgeni tena si tuu wa jiji bali hata wa kusafiri! Hii mbinu ni ya kizamani sana ambayo kwa sasa ni nadra kutumiwa na inategemea na mtu...! Kimsingi ukiibiwa kwa njia ya chakula au kinywaji lazima watu waseme ni uzembe labda kama umepewa na unaye mfahamu!

Ila ni utapeli wa zamani.
Walikuwa wanampa victim wao biscuits.... haswa kwenye magari ya mkoani.

Nashangaa miaka hii mtu analizwa kwa technique zike zile za long.....labda tabia ya watanzania kuamini amini watu hovyo ndio inawaponza.
 
Mara nyingi wanaoingia kwenye mtego wa kutapeliwa, wengi wao wanakuwa ni sabab ya TAMAA, HALAFU VITU VYA 5M, Hebu tuorodheshee ni nini na nini? yani mtu ana tembea na vitu vya 5m hata ka vitz huna.? nawaza tu, madaladala tuachieni sie jamani. KWA GHARAMA YA VITU ALOPORWA HAPO ANGEONGEZA KA 2M au 3 m angekuwa na gari yake.
Hapo kwenye 5M bado nina doubt pia..
 
Kinachonishangaza Kwa Binadam wa Kitanzania ni binadam ambae hayupo sehem yoyote n binadam tofauti na wengine Ni Tanzania tu unaeeza kuta mtu hamjuani mnaanza kuanzisha Stori tena sometimes za Siasa na Ndo Upuuzi hii hali iko Bongo tu na Kama alikua na ishu za Kuuliza mambo ya Azam why asingeenda kwenye ofisi zao Puuuumbaaaaaav
 
jamaa yako alienda nae home au walimfuata?

ila asante kwa kutujuza
 
Sasa hajambo, alipelekwa Dispensary wakam transfer Mwananyamala then Muhimbili, kama moja ya Simu yake ikitumika Bongo atavipata vitu vyake...

Police wanahangaika kukamata Daladala, ila inaonekana Ni mchongo toka alipoenda, coz safari yake town ilijulikana na mdau mmoja ambaye hufanyanae biashara, it means mdau alijua jamaa ataenda na atakua na vitu vya thamani, vitu kama Laptop Mac mpya zaidi ya 2 millions...so binafsi naamini mchongo ulianzia kule

Wewe, hii ni story yako ya kwanza kutunga? Mtafute shigongo akufanyie chorus
 
Nyie wanaume wa mikoani mnaliaibisha jiji letu la UKAWA... kula/kunywa ovyoovyo mwisho Mailimoja Kibaha
 
Mmmh! Sijaelewa hivyo vitu vya thamani ni vipi?alitembea navyo? Na hiyo mil 5 alikuwa nayo kwe bus ama?
Hii stori yakutunga kabisa.unaleweshwa na kuporwa vitu vya thamani ya mil 5 kwenye daladala?.Hyo gari haina kondakta,dereva wala abiria wengine?.au lilikuwa porini ?.
 
Jamaa yangu amepanda Daladala, akisubiri abiria wajae ili Bus liondoke, baada ya muda anaingia jamaa akiwa amevaa T'shirt ya Azam, Kofia ya Azam, in short yuko uniform kwa Sale na akionekana anafanya kazi Azam, smart vya kutosha.

Jamaa anaingia na kukaa siti ya mbele yake, baada ya muda ananyanyuka na kuja kukaa siti moja na jamaa yangu, baada ya salam na story mbili 3 jamaa akajitambulisha anafanya kazi Azam, jamaa yangu Ana kampuni yake inayojishughurisha na kazi flani, akatumia nafasi hiyo kuuliza mambo flani kuhusu Azam kuona kama anaweza anaweza kupata connection yoyote, baada ya story za hapa na pale mdau wa Azam akafungua begi akatoa Juice ambayo ilikua kwenye Kopo kama la Heineken vilevile, mdau akalifungua akaanza kunywa, akamwambia Jamaa yangu, Azam wana bidhaa mpya, na wao wanapita mitaani kupata Mawazo ya wadau kuhusu bidhaa mpya kabla hawajaingiza sokoni.

Akafungua begi akatoa kopo jingine akampa yangu, jamaa akaanza kusoma Maelezo yote yaliokua kwenye ile label, Ina nembo ya Azam kama kawaida, Jamaa yangu baadaye akaiweka kwenye begi lake akisema ataionja akifika home vile hapendi kulakula njiani, but baadaye akaona atakua hajamtendea haki jamaa, coz mdau angehitaji feedback, basi akaamua kunywa, akamwambia Ni nzuri sema Ina uchachu flani ambao haoni kama Ni mzuri....zilipita dakika kama 10 akazima, kuja kuzinduka baada ya siku 3 wamebeba vitu vya thamani kubwa na pesa, simu n.k jumla 5 millions na ushee!

Police wakamwambia kesi ya aina yako Ni ya 4, Muhimbili walimwambia wewe Ni mtu wa 6 kwa tatizo kama lako!

Tuwe take care Wadau!
Ingawa mimi sifanyi kazi Azam lakini ninauhakika kuwa huu ulikuwa ni utapeli kama utapeli mwingine.
jamaa wamebuni mbinu ya kuibia watu kwa hiyo hicho kichwa cha habari siyo sahihi na wala hukuitendea haki kampuni ya azam.
 
Kinachonishangaza Kwa Binadam wa Kitanzania ni binadam ambae hayupo sehem yoyote n binadam tofauti na wengine Ni Tanzania tu unaeeza kuta mtu hamjuani mnaanza kuanzisha Stori tena sometimes za Siasa na Ndo Upuuzi hii hali iko Bongo tu na Kama alikua na ishu za Kuuliza mambo ya Azam why asingeenda kwenye ofisi zao Puuuumbaaaaaav
Kaka inawezakana wewe hauko social au hujatembea.mbona kupiga story safarini na strangers ni kitu cha kawaida.Nimeshapata marafiki wengi tu nkiwa safarini kuanzia waafrica,wazungu,waarabu e.t.c tena wengi walianzisha wao mazungumzo.Nimeenda misri na mwenyeji wangu alikuwa mwarabu nliekutana naye kwenye basi kuelekea macau.Muhimu nikuwa makini tu na kutoruhusu mazoea ya harakaharaka.kukaa kimya safari ya dar to mwanza au dar to australia masaa zaidi ya kumi naa utanuka mdomo shehe
 
Back
Top Bottom