Utapeli mkubwa DSM: Beware

Wanawaibia mazoba na mafala tu. Watu wajanja hawaibiwi.

Nyie woote mlioibiwa ni sawa na wale wanachama wa Deci. Hivi Deci imeishia wapi?

Mitanzania mijinga sana!!

Sitegemei kama kuibiwa mtu ni zoba au ****! Kwa kuwa wewe hujatendewa hivyo mshukuru Mungu.
 
Wanawaibia mazoba na mafala tu. Watu wajanja hawaibiwi.

Nyie woote mlioibiwa ni sawa na wale wanachama wa Deci. Hivi Deci imeishia wapi?

Mitanzania mijinga sana!!

Sitegemei kuwa mtu kuibiwa wewe ni Zoba au **** hii ni timing tu.
Mara ngapi mtu unaibiwa Kariakoo kwenye pochi na unakuta zipu
imefungwa vizuri tu?

Omba Mungu kwa kuwa hayajakupata.
 
Watanzania beware hizo ni 419 SCAMS, kuweni makini sana na mtu yoyote anayekupa dili au nafasi yoyote ya kupata pesa kubwa sana ila anakuambia ulipe kiasi fulani cha pesa kwanza. Huo mchezo umeenea kote duniani, watakuja na njia nyingine karibuni. Usilipe pesa kabla hutopata kitu hata akikutajia mama yako mzazi ni information tu mtu anaweza kupata kwa kutrace email, simu na vitu vingine.
 
Poleni mnaotapeliwa mamilioni mengi kiasi hicho. Inasikitisha sana, utajiri wa haraka gharama zake ndo kama hivyo
 
Binafsi nimejifunza mengi kutoka kipindi cha "The Real Hustle" kinachurushwa na BBC Entertainment.

NAfahamu baadhi yetu wamekuwa wakipuuza these kind of vipindi, ila unaweza nusurika na utapeli wa aina nyingi kupitia makosa ya wengine.

Nukuu: "Ni wajinga tu hujifunza kutokana na makosa yao, werevu hujifunza kutokana na makosa ya wengine!'
 
Jamani! tukimbilie fursa ya kilimo kwanza na kuachana na maisha ya ubabaishaji.
 
Back
Top Bottom