Utapeli madukani Arusha

Utapeli madukani Arusha

Ila ni washenzi,yaani unauziwa wembe za laki moja?
kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV; Fridge ; nk . ukishanunua hizo bidhaa wanaondoka na hakuna cha zawadi na simu hawapokei! imagine umenunua bidhaa za laki moja za wembe utauza mpaka lini ziishe! tunaomba popote pale wakipita madukani wakamatwe maana wameshatapeli maduka mengi sana jirani yangu ametapeliwa juzi
 
Hii kitu ilinikuta Mwanza mwaka 2016,,walikuja wawili kwenye kioski then wakatoa maelezo kama yote na bonus za matangazo kupitia gari lao LA kampuni ya gillete siku wakileta fridge,tv pamoja na bango lenye jina langu + discounts lakini kwanza kwa hiyo siku nichukue dozen 8 na nilipie ili niingizwe kwenye orodha kamili..
Aseemoyo uliona ndo bahati yenyewe lakini roho ilikataa maana ukiwacheki wenyewe wamepauka mbaya then ubongo ukanikumbusha kutokukubali kupokea nguo toka kwa mtu aliye uchi
 
Hiyo ni karibu ya Arusha, sasa ni muda wa kuhadithia ndugu zako wa Simiyu, Ngosha.
 
Ole Sambaya kapata u DC ila kaacha vijana wake waendeleze kazi yake ya utapeli.
Huyu undercover special agent ni noma kweli.
Hakika Hai mumepata mtaalam wa utapeli
 
Mi sijawai sikia kisa hiki. Ilikuaje akakopesha picha ya gari!?
Mlalamikaji alimkopesha tapeli mmoja pombe yenye thamani ya sh laki tano kwa jamaa aliyemwonyesha picha ya gari analodai kumiliki lenye thamani ya shilingi milioni 600. Uzi wake aliupa jina "Jihadhari na Tapeli Huyu"
 
Hii kitu ilinikuta Mwanza mwaka 2016,,walikuja wawili kwenye kioski then wakatoa maelezo kama yote na bonus za matangazo kupitia gari lao LA kampuni ya gillete siku wakileta fridge,tv pamoja na bango lenye jina langu + discounts lakini kwanza kwa hiyo siku nichukue dozen 8 na nilipie ili niingizwe kwenye orodha kamili..
Aseemoyo uliona ndo bahati yenyewe lakini roho ilikataa maana ukiwacheki wenyewe wamepauka mbaya then ubongo ukanikumbusha kutokukubali kupokea nguo toka kwa mtu aliye uchi
Hahahaa mkuu hata mimi ilinikuta Mwanza mwaka 2017 maelezo yalikuwa kama yako. Nikachukua dazani 2 akawa ananilazimisha kuchukua dozeni 10 eti siku ya kuleta friji na Tv wateja watakuwa wengi nashukuru Mungu sikuongeza nikalizwa hizo dazani 2
 
Sasa huo ni utapeli vipi akati umeuziwa bidhaa??? Kama hutaki si unaacha?? Arusha hao wajinga hawapo wew usitutie aibu sisi.[emoji10][emoji10][emoji10]
 
Hahahaa mkuu hata mimi ilinikuta Mwanza mwaka 2017 maelezo yalikuwa kama yako. Nikachukua dazani 2 akawa ananilazimisha kuchukua dozeni 10 eti siku ya kuleta friji na Tv wateja watakuwa wengi nashukuru Mungu sikuongeza nikalizwa hizo dazani 2
Kaka hatari..hizi biashara za duka zina majaribu kinoma yaani unatapeliwa na mtu usiyemdhania kabsa kumbe mwenzako yupo kazini kama kazi zingine
 
Hahahaa mkuu hata mimi ilinikuta Mwanza mwaka 2017 maelezo yalikuwa kama yako. Nikachukyua dazani 2 akawa ananilazimisha kuchukua dozeni 10 eti siku ya kuleta friji na Tv wateja watakuwa wengi nashukuru Mungu sikuongeza nikalizwa hizo dazani 2
Halafu wanakuuzia bei ya kampuni 9000 wakati liberty huwaga 6000...lakini kwa uchu wa TV, fridge na pango LA tangazo lenye jina lako mfano( Chief M-255 shopping centre),mbona utanunua nyembe za kutosha!!!!!!
 
kuna utapeli unafanyika na wamachinga wanaotembeza bidhaa za wembe kwenye maduka kwa kudanganya kuna promotions za kampuni husika, wanalaghai wateja kuwa ukinunua bidhaa hiyo unapata zawadi ya TV; Fridge ; nk . ukishanunua hizo bidhaa wanaondoka na hakuna cha zawadi na simu hawapokei! imagine umenunua bidhaa za laki moja za wembe utauza mpaka lini ziishe! tunaomba popote pale wakipita madukani wakamatwe maana wameshatapeli maduka mengi sana jirani yangu ametapeliwa juzi
unashindwa nini kumkamata na kumtengua nyonga?
 
Ushauri wangu ni wakija waambie wakupe kitambulisho cha wamachinga akikuonyesha nunu asipo kuonyesha usinunune...akionyesha rekodi namba dhen baada ya kuuza nyembezako zote kama hujapata Tv nanda police toa taarifa dhen wape namba ya uliyerokodi ya huyo machinga watamkamata fasta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom