Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,520
- 10,036
Braza K Mapovu na wafuasi wake hawawezi kuzuia hata uchaguzi wa kiranja wa shule ya msingi.No reform no election
Una neno gani kwa wanaonitukana kwa kuleta mada hii?Mbona iko wazi.
Ukiona mtu anawafuata hao wafanyakaz wa paripesa ujue ni mgeni kwenye betting.
Kampun yenyewe haijasajiliwa TZ. Ni ya Nigeria. Ndio maana hawakat kodi .wanaogopa kushtakiwa.
Themes yake pia ni copy and paste na 1xbet
Zile stake kwao ni demo akaunt. Sio real deposit Money na hazitoki. Zinazungushiwa pale pale kwa akaunt ndio mana anakuonyesha stake tu na sio salio halisi.
Ila betting ni biashara ngumu. Achaneni nayo
Kitendo cha kufuata mkeka na ukabetia paripesa kama yeye alivyobet, bas hela inaingia kwenye kampuni yao . Maana ungeweza kubetia kampun nyingine.Mimi sijaelewa..mfano sativa kabeti kampa Simba direct win yanga over 2.5,aka stake 1m kashare mkeka na promo code..nikifata ule mkeka ukachanika,nakua nimetapeliwa kwa namna gani!??
Wapuuze broUna neno gani kwa wanaonitukana kwa kuleta mada hii?
Sasa huo utapeli au tangazo la biashara??Kitendo cha kufuata mkeka na ukabetia paripesa kama yeye alivyobet, bas hela inaingia kwenye kampuni yao . Maana ungeweza kubetia kampun nyingine.
Kwahiyo wao wanafanya marketing ununue huduma kwao ..
Ni two way.Sasa huo utapeli au tangazo la biashara??
Ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwaNi two way.
1. Tangazo
2. Utapeli kwasababu Wadau wakiona Sativa kaweka 500k kwa odds 2. Bas wanaamini jamaa anauhakika na betslip yale kwahiyo wanaifuata bet kujua kuwa ile 500k sio real.
Bet ikichana anaumia aliyeifuata.
Upo sahii kuweka chambo,ila uki win??.. anyway wajinga ndio waliwao..tho nafikiri kila mtu anajua Hilo linafanyika.kama Baba levo kila siku kula mamilion ya wasafi..Ni two way.
1. Tangazo
2. Utapeli kwasababu Wadau wakiona Sativa kaweka 500k kwa odds 2. Bas wanaamini jamaa anauhakika na betslip yale kwahiyo wanaifuata bet bika kujua kuwa ile 500k sio real.
Bet ikichana anaumia yule aliyeifuata na Sativa haimgusi
Mimi sifahamu lolote kuhusu hayo mambo ya betting sijui kamari. Kamari pekee niliyowahi kucheza tena ni mwaka 90 huko, ile unafumbata sarafu (Shilingi ya Mwinyi) kwa mikono miwili, unaitikisa-tikisa wee halafu mikono unaifumbata chini, mwenzako anakisia mkono wenye sarafu, akipata ile sarafuyake na yako za kwake, akikosa ile ya kwako na yake za kwake.Naomba niwasanue..
Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake hela nyingi. Unakuta mkeka mmoja anaweka 700k na kutoa code na promo code anaisambaza kwenye magroup ya Whatsapp na page za mitandao ya kijamii.
Wanawashawishi watu ku stake hela nyingi kama wao. Kitakachofuata ni mikeka kuchanika kikatili sana. Wao wanakuwa hawana hasara kwa sababu hela siyo yao, ni ya Ponjoro. Wao wanalipwa fixed salary mwisho wa mwezi.
Zile stake kwao ni demo akaunt. Sio real deposit Money na hazitoki. Zinazungushiwa pale pale kwa akaunt ndio mana anakuonyesha stake tu na sio salio halisi.
Mkeka pekee wa kweli ni wa kusuka mwenyewe.
Ndo maana pale mwishoni kamalizia mikeka beti mwenyewe,hao kina sativa wengine kama hao ni matapeli,mtu hawezi kuandaa codes 24 hrs halafu anatoa bure,hao hao ilivuja kwenye group lao wameweka treni watu wamefuata code baadaye wenyewe wanachati leo tutapiga hela ile code imebeba nyumbu kibao.mkuu hapa umeandika upuuzi tu.. zaidi umetumia tu hisia na akili zako fupi..betting ya mpira iko wazi kila mtu anajionea mechi ikichezwa uwanjani..na kuhusu hao uliowataja wao wamechagua timu wanazoziamini zitawapa matokeo ya ushindi mfano berkane win,pyramid win,PSG over 1.5 goals kisha akastake million 1..hapo kama ww ukafatiza alivyobet yeye na mkakosa utasemaje eti amefanya utapeli je,hizo timu hazipo,je,hizo timu hazikucheza uwanjani.? kuhjsu stake kila mtu ana urefu wa kamba yake na zaidi unene wa mfuko wako kuna wanaoweza kustake million,laki,elfu 10 au mia tano..katika betting ambazo hazina utapeli ni football hivyo mtoa mada acha uzandiki hayo sijui code , promo code na stake 700k hayo ni hiyari yako tu kuyafuata wala ulazimishwi..ww kama yamekushinda katafute kazi nyingine ufanye na sio kusingia eti football inakutapeli ni fix zenu za kushindwa.
Great ๐ ๐๐ฝNdo maana pale mwishoni kamalizia mikeka beti mwenyewe,hao kina sativa wengine kama hao ni matapeli,mtu hawezi kuandaa codes 24 hrs halafu anatoa bure,hao hao ilivuja kwenye group lao wameweka treni watu wamefuata code baadaye wenyewe wanachati leo tutapiga hela ile code imebeba nyumbu kibao.
Wanazoshinda zipo za uhakika na zipo za mkakati usibishe usichokijua,code anadaa mwenyewe ila siyo kwa hao punters wanaojulikana