Utapeli Katika Betting Unafanyika Hivi

Utapeli Katika Betting Unafanyika Hivi

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
6,543
Reaction score
23,844
Naomba niwasanue..

Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake hela nyingi. Unakuta mkeka mmoja anaweka 700k na kutoa code na promo code anaisambaza kwenye magroup ya Whatsapp na page za mitandao ya kijamii.

Wanawashawishi watu ku stake hela nyingi kama wao. Kitakachofuata ni mikeka kuchanika kikatili sana. Wao wanakuwa hawana hasara kwa sababu hela siyo yao, ni ya Ponjoro. Wao wanalipwa fixed salary mwisho wa mwezi.

Zile stake kwao ni demo akaunt. Sio real deposit Money na hazitoki. Zinazungushiwa pale pale kwa akaunt ndio mana anakuonyesha stake tu na sio salio halisi.

Mkeka pekee wa kweli ni wa kusuka mwenyewe.
 
Attachments

  • Screenshot_20250602-213239_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20250602-213239_WhatsApp.jpg
    183.8 KB · Views: 34
Naomba niwasanue..

Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake hela nyingi. Unakuta mkeka mmoja anaweka 700k na kutoa code na promo code anaisambaza kwenye magroup ya Whatsapp na page za mitandao ya kijamii.

Wanawashawishi watu ku stake hela nyingi kama wao. Kitakachofuata ni mikeka kuchanika kikatili sana. Wao wanakuwa hawana hasara kwa sababu hela siyo yao, ni ya Ponjoro. Wao wanalipwa fixed salary mwisho wa mwezi.

Mkeka pekee wa kweli ni wa kusuka mwenyewe.
Wee subiri club world kapu tuu ni mwendo wa kapata hela toka kwa hizi cluba za africa. Wakicheza wee wachinje tuu maana wanaenda kutali united states of amrikaaa
 
mkuu hapa umeandika upuuzi tu.. zaidi umetumia tu hisia na akili zako fupi..betting ya mpira iko wazi kila mtu anajionea mechi ikichezwa uwanjani..na kuhusu hao uliowataja wao wamechagua timu wanazoziamini zitawapa matokeo ya ushindi mfano berkane win,pyramid win,PSG over 1.5 goals kisha akastake million 1..hapo kama ww ukafatiza alivyobet yeye na mkakosa utasemaje eti amefanya utapeli je,hizo timu hazipo,je,hizo timu hazikucheza uwanjani.? kuhjsu stake kila mtu ana urefu wa kamba yake na zaidi unene wa mfuko wako kuna wanaoweza kustake million,laki,elfu 10 au mia tano..katika betting ambazo hazina utapeli ni football hivyo mtoa mada acha uzandiki hayo sijui code , promo code na stake 700k hayo ni hiyari yako tu kuyafuata wala ulazimishwi..ww kama yamekushinda katafute kazi nyingine ufanye na sio kusingia eti football inakutapeli ni fix zenu za kushindwa.
 
Mkuu, Naomba usome Upya nilichokiandika tafadhali🙏🏽
 
Back
Top Bottom