Mwembamba sana na dera? Kha!
Sasa NY kuna bajaj?
Ila nazalisha wanawake piabora ckuwahi hisi kama kongosho mdada
Mwembamba sana na dera? Kha!
Sasa NY kuna bajaj?
Mnabifurahisha nyie, visa tayari nini?
Ila alinisikitisha rafiki yangu, best friend for 18 yrs now. Nilipomshawishi aingie jf, next day akaujua mwandiko wangu. I need to act up, boss wangu atanistukia soon. Its nice to be faceless, seriously. You can be yourself.
Jaribu kuangalia wakaka wote warefu mjini, when I say tall guys I mean 6ft and above...mmoja wao ni watu8
he he he, ukikutana na mtu
-mwembamba sana, black beauty, mrefu kiasi
-akiwa restaurant, sparkling water, kuku
-usafiri ni bajaj kwa kwenda mbele (huwa wananitania hata kama nimepanda vogue, nikiona bajaj nataka kushuka)
-madera yanahusika sana
may be tuje tuaandae part yeyote ile kwa wana MMU wahudhurie so utakaokutana nao hapo ndo ujue ndo hao unaochati nao JF
Nimesikia jana kure Arusha kuna mdau ulifiwa na kuna wana Jf walishiriki kumfariji na siamini kama wote waliokuwepo pale wanatumia majina yao halisi humu je walijuanaje?
ukikutana na mtu amepiga msuri na ndizi mkononi ujue ndo mwenyewe
Ukikutana na dada mrefu, mweusi, kajaziajazia! Ukiweza kuongea naye mkalin sana kichwani, well composed!
Mikato ni mini skirts & tops, short dresses, skin jeans kwa mbaali!
Nikidrive huwa siwezi kuvumilia foleni, lazima nitanue tu! Ila sasa ndio napenda kuwa na dereva.
I'm very outgoing, so people karibuni sana cinema, club, etc!
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
daaah huwa naedmire sana watu wembamba on madera as kuna ambao huwa yanawatoa sana naweza jikuta namsalimia mdada wa namna hiyo nikikutana nae mambo Kongosho kumbe sie akantoq balu heheheheheee
kweli JF kuna kila sampuli daaah!! huko huwa nafika sokoni kununua mchele wa bei rahisi, ntakupa hi next week end nikija
Hata mimi nina ufupi huo kama urefu wakoJaribu kuangalia wakaka wote warefu mjini, when I say tall guys I mean 6ft and above...mmoja wao ni watu8