Utanijuaje??

Utanijuaje??

sakapal naona hujawahi kuwaona Wabongo wake kwa waume wanaojua kusakata ndombolo tena kwa madaha. Utasuuzika na roho yako hutatamani wimbo uishe ile uendelee kuona maujuzi yao ya kucheza.



hahahahaha BAK huwa napenda sana kudance on weekends ila ndombolo si sana mie niko kivingine ila kuna watu huwa nawaona wanshuka ndombolo hasa kwenye maharusi na sherehe ninazohudhuria, hope i've seen u sebenering.... enjoy BAK
 
Last edited by a moderator:
ukifanikiwa kuvumilia moshi wa mabomu huyo unayemuona anaongoza kwenye harakati ,ziwe maandamano ,matembezi ya hisani ,mikUtano ya hadhara nakuwa mbele kabisa usisite kunipa HI .NAPENDELEA KUVAA JEANS YA KUBANAA HADI MIGUUNI NA BUTI KUBWA NA 10.5
 
looh nguvu ya farasi ndo weye unayewapandishaga vijana milegezo yao na kuwaambia nguo inaanguka kumbe wao wako kwenye fashion

Huwa natembea na bakora, nacharaza viboko. Uliuza mtaa mzima nani mkorofi utaambiwa babu H!!!!
 
sakapal naona hujawahi kuwaona Wabongo wake kwa waume wanaojua kusakata ndombolo tena kwa madaha. Utasuuzika na roho yako hutatamani wimbo uishe ile uendelee kuona maujuzi yao ya kucheza.







Ni kweli huwa napenda kuangalia watu wakilisakata sebene au ndombolo ya solo hasa kwa madaha ile mie steps hizo zilinishinda niliziweza za ezni ya kina boziboziana na kanda bongo man ila hizi za siku hizi daaah kwishney babujy.
Thanks for the mbiliabel song unanikumbusha mbali wakati huo kuangalia kideo anasa daah. Pamoja sana BAK.
 
Last edited by a moderator:
ukifanikiwa kuvumilia moshi wa mabomu huyo unayemuona anaongoza kwenye harakati ,ziwe maandamano ,matembezi ya hisani ,mikUtano ya hadhara nakuwa mbele kabisa usisite kunipa HI .NAPENDELEA KUVAA JEANS YA KUBANAA HADI MIGUUNI NA BUTI KUBWA NA 10.5

hehehehheeeee nimependa appearance yako lol
 
ukiona mtu mda wote anadamu mdomn dats me,come and say helow but you should do me a favour of sucking your neck,coz thats my helow
 
hizi alama siziziamini maana nikama vituko kwenda mbele kwa style hii huwezi kujua hata kama huyu ndiye fulani nje ya kuzi kuchanganyikiwa kuna watu wangapi wa aina kama hizi, wenye nguo na wenye tabia kama hizi
 
JF bana kila mkaka mrefu :smile:..

Ukikutana na mkaka alafu baadae ukamkumbuka baaasi uyo kwa asilimia kubwa sana ni Wi-Fi.
 
Ukikutana na dada aliyepanda hewani, mweusi halafu yuko siriaz sana mpaka ukahisi kuogopa hata kumpa Hi! Ujue umekutana na Neylu..!
 
ukikutana na mtu anayechangia sredi hii kwa maelezo haya basi ujue ndio mimi!
 
Back
Top Bottom