Utanijuaje??

Utanijuaje??

Ukikutana na Mmenye meno kama ya Dogo janja nina vipuri masikioni na nimepiga wave kama ya Loon(kwenye video ya I need a girl) basi ndio mimi.
 
Rafiki sakapal ukiingia mahali popote penye miziki ya kukata na shoka ukamuona mtu anayecheza kila nyimbo hahahaha lol! bila kupumzika basi ujue huyo ndiyo BAK. Akiingia muziki BAK ni kazi moja tu kwenda kujirusha kwa raha zake na siyo kukaa kwenye kiti kama kawekewa gundi kwenye kiti na kama muziki haumzingui basi hakawii kuyeya na kwenda kutafuta sehemu nyingine ya muziki unaousikia hadi kwenye viungo ya mwili.



hahahahaha BAK huwa napenda sana kudance on weekends ila ndombolo si sana mie niko kivingine ila kuna watu huwa nawaona wanshuka ndombolo hasa kwenye maharusi na sherehe ninazohudhuria, hope i've seen u sebenering.... enjoy BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kibibi.com kirefu chembamba na kicheshi. Ujue umekutana nae.
 
Mwembamba mrefu..........akimuona demu anapita barabarani ana haga la ukweli lazima ageuke nyuma.......halafu mcheshi fulani hivi......ujue huyo ndiye mimi
 
ukija the rock city ukakutana na mdada mwenye haiba kama za huyu hapa chni, hakika utakuwa umekutana na charminglady mwenyewe a.k.a mrs. C6 a.k.a mama kijacho!!!!!!!!!!!!!!

N.B. saiv nina jitumbo so nipo tofauti kidogo ila baada ya muda nitarudia umodo lolest.....

4696922-819023-smiling-african-lady-in-boots-turning-back-full-length-shot.jpg

me admire and love u charminglady hongeraC6 kwa kumiliki cute wife
 
Ukiingia bar yeyote wekend ukakuta jamaa mrefu kiaina amekaa counter anagonga ndovu au light za kutosha hadi dada wa counter anafunga ofisi ujue Mkata kiu yupo around.

heheheeee huwa naobserve watu wa kaunta nikiwa kwenye vikao vya harusi na kichen party week ends hope one of them is u.
 
Hapa sijui nijielezeeje. mwaJ msiri wangu hebu waibie kidoog utulize wahaka wa sakapal
 
Last edited by a moderator:
ukifika mjini hapa kwetu mwendesha mkokoteni maarufu aka mago alafu pia ni mtu ambaye masaa yote yuko kulisuma magolake unaweza ukahs kua nimie jaribu kutoa
 
ukimwona mdada ana dredi fupi blaki jua ndio mwenyewe

huwa naedmire sana wadada wenye dreads ila mie zilinishinda na napenda kuwaona nazo kichwani zikiwa zimewapendeza. Now days hadi maofisini wanaweka dreads.
 
ukija the rock city ukakutana na mdada mwenye haiba kama za huyu hapa chni, hakika utakuwa umekutana na charminglady mwenyewe a.k.a mrs. C6 a.k.a mama kijacho!!!!!!!!!!!!!!

N.B. saiv nina jitumbo so nipo tofauti kidogo ila baada ya muda nitarudia umodo lolest.....

4696922-819023-smiling-african-lady-in-boots-turning-back-full-length-shot.jpg

shabaha zimekubali bwana.,, hongera sana..baiolojia iko vizuri
 
Last edited by a moderator:
ukija moshi maeneo ya meimoria banda lililoandikwa 'kwetu ni huku' ukakuja mdada amekaa anauza mitumba na bia pembeni ujue ni mimi
 
Ha ha ha haaaaaaaaa! Ukikutana na kijana mjeshi, mrefu, smart na hb kwa saana, ujue umemekutana na msiri wangu Kaizer.

Ewaa mwaJ ndo maana nakupenda hapana chezeua mjeshi
 
Last edited by a moderator:
weraaaaaaa weraaaaaa.my hezbend yan huo urefu ndo ugonjwa wangu.... sipati picha kijacho atakuwaje make daddy ake tall.... grandpa tall....

Mkuu charminglady hapa unatunyanyapaa sisi andunje. Back to topic, ukikutana na andunje mwenye hasira hasira muda wote na mtata haswaaaaaaaa aka mbishi basi ujue ndiye yeye mjasiria ORIJINALE mwingine ni nakala tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom