sakapal
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,804
- 1,425
Kwa binafsi natamani sana kufahamu baadhi ya JF members hasa wa MMU kwenye uhalisia wao wa maisha yaani wakiwa mitaani au maofisini au majumbani. Kwa mantiki hiyo basi saa ingine waweza kutana na mtu barabarani na kuhisi huyu mtu anaweza kuwa lara1 au BAK au huyu mzee anaweza kuwa Mtambuzi au Platzoom au huyu mkaka anaweza kuwa The Boss na mambo kama hayo. Sasa kwa kuwa hatujuani na hata kama kunawanaojuana wachache mie ningeomba kila mtu aweke vinasaba vinavoweza kumfanya mwana MMU yeyote akiwa mtaani au club ahisi yule ni Snowhite au SnowBall.
Kwa mie Sakapal waweza nihisi
-ukikutana na mdada ambaye barabarani anatembea kwa miguu nakuwa speed mno na siitikii salamu yeyote ya mtu ambaye simjui.
-nikiwa naendesha barabarani ntakuwa naendesha rafu sana, kuchomekea kwa sana, panya road kwa sana.
-nikiwa nakula restaurant natumia dakika 45 kumaliza chakula na kinywaji huwa nakula polepole.
-vimini na pedo zinahusika sana siku za week end na sun glasses kubwaa.
Ukikutana na mdada wa aina hii waweza hisi huyu ni Sakapal may be mko nae job au mnakaa mtaa mmoja. Na wewe weka za kwako ofcourse sio zile za kufanya mtu akujue kabisa but awe anahisi mmh huyu kama Bofloo au Pretaa.
Ni kionjo tuu mnakaribishwa kushare the fun.