Utani wa makabila!je kuna uhalisia?

Utani wa makabila!je kuna uhalisia?

sio Jecha wa Zanzibar aje kubadili?natamani tuongee kizungu maana Jf member they don't know malikia Elizabeth.

swissme

swissme
We huwezi kucreate blog bila kujua lugha ya mama. Huwezi jiunga bila kuelewa lugha ya mama, huwezi tumia laptop au chrome kama mimi bila kujua lugha ya mama. Hi ni JF. Forum ya wasomi, vichwa na uchwara
 
Lizaboni nae ni msomi?

swissme
 
Unganisha 4, 12, 22 na 23 maana tabia na misimamo yao sawa siyo kisiasa lakini.
 
Ongezeko la mikoa miwili ya visiwani znz.
1.Unguja- Kuogelea
2.Pemba-wavuvi
 
20 sijui kama kuna boya kakuibia halafu ukamuacha salama ila ukimwashia kipondo jua hizo ni hasira nafikiri Kila raia ana hasira
 
Back
Top Bottom