Utani wa makabila!je kuna uhalisia?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,865
730,445
652e6b3209e7047e64c39f5f726ef1f5.jpg
 
kwangu mimi kabila langu naona ni ukweli mtupu sisi hatuchekicheki na pesa tunapiga pesa sana ndio maana huwa tunapendwa na wanawake kwa sababu hiyo.

swissme
 
Badilisha 7 iwe 12, halafu 9 wachukue 14. Misifa imegeuka pombe. Kila mwaka 7 wanakula viwavi na majani. No. 7 bahati yao nikuwa CCM 100% hata kama Mlimani watachagua upinzani jioni wanaingia na malori ili mradi bahati iwe pale pale.
 
wameogopa kujisuta kama ma ccm.

swissme
Badilisha 7 iwe 12, halafu 9 wachukue 14. Misifa imegeuka pombe. Kila mwaka 7 wanakula viwavi na majani. No. 7 bahati yao nikuwa CCM 100% hata kama Mlimani watachagua upinzani jioni wanaingia na malori ili mradi bahati iwe pale pale.
Wengine wote wameingia mitini

shikamoo NIAH.

SWISSME
 
y

yaani numbar 7 balaa lakini number 12 balaa zaidi.

swissme
 
Mbona hakuna bangi! napinga marekebisho please! hapo namba mbili ondoa neno starehe weka hilo neno jeusi!
 
Badilisha 7 iwe 12, halafu 9 wachukue 14. Misifa imegeuka pombe. Kila mwaka 7 wanakula viwavi na majani. No. 7 bahati yao nikuwa CCM 100% hata kama Mlimani watachagua upinzani jioni wanaingia na malori ili mradi bahati iwe pale pale.

Badilisha 7 iwe 12, halafu 9 wachukue 14. Misifa imegeuka pombe. Kila mwaka 7 wanakula viwavi na majani. No. 7 bahati yao nikuwa CCM 100% hata kama Mlimani watachagua upinzani jioni wanaingia na malori ili mradi bahati iwe pale pale.
vipi number 5 sio wewe kweli?

swissme
 
Marahabaaa za shule/kazi au kitaa au kijiwe au sijuhi jaza wewe mwanangu/mjukuu. Kama kijiwe leo labda uwe nje ya bandari ya salama. Kimenuka hizi siku.
nije Njombe magurumbasi, napumua tu.

swissme
 
Makondakta atabadilisha namba hizo sababu amekodi magari ili bahati iwe balaa.
sio Jecha wa Zanzibar aje kubadili?natamani tuongee kizungu maana Jf member they don't know malikia Elizabeth.

swissme

swissme
 
Back
Top Bottom