Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
Watakuwa wamekutana via social networks
Watakuwa wamekutana via social networks
Hawa ni wa IringaHuu ni Uzi wa Picha za utani, za kuchekesha, kuburudisha na kufundisha kutokana na utani wa makabila mbalimbali.
Wasukuma tunataka haki yetu ya msingi ya kutambulika kama kabila photogenic zaidi duniani.View attachment 1182034
View attachment 1182034
Kweli popobawa hana hurumaUnahisi watakuwa wanatokea kanda ipi?View attachment 1183356
Nale Msukuma o NyambitilwaUlinsukuma gete u bhebhe ?
Jamaa ni mwongo huyuUnatoa hapa, unaweka kule, unazidisha na pale unapata unachotafuta.View attachment 1182101

Ukikutana nao kwenye vibanda vya pweza



Duu yamefanyiwa featuring.... Hawa wanapatikana kishimundu kwa akina AsprinUnahisi watakuwa wanatokea kanda ipi?View attachment 1183356









Kuna watu bwana, wana dozi kubwa kinoma, anakula huo mchanganyiko wa karanga, muhogo na Nazi, kisha anakula pweza na supu yake, baada ya hapo anajisindika na vumbi la Congo. Halafu hana mke wala demu, halafu mnafunga na kuomba machangudoa wakose Wateja, Haa hah haaaaUkikutana nao kwenye vibanda vya pweza
Wanafurahisha hao![]()
Hadi anajidanganya mwenyewe. Hajulikani ni kijana au mzee, yaani kila kitu chake feki, tumrudishe tu Kalahari ddesert akacheze The Gods Must Be Crazy 6Jamaa ni mwongo huyu![]()
Huyu binti wa Kikurya, anaitwa Gati, ukimzingua kama kuna upanga pembeni, lazima akutoe damuKwa hiyo mmeamua kutufungulia uzi wanyakyusa View attachment 1183453
HahhahaKuna watu bwana, wana dozi kubwa kinoma, anakula huo mchanganyiko wa karanga, muhogo na Nazi, kisha anakula pweza na supu yake, baada ya hapo anajisindika na vumbi la Congo. Halafu hana mke wala demu, halafu mnafunga na kuomba machangudoa wakose Wateja, Haa hah haaaa




HaaaaKweli popobawa hana huruma
Hahahahahhhhh eti lumbila, huchelewi kuwapeleka kwa mwashigala..Hahhaha
Nmecheka kifala
Wanakula na ice cream za ukwaju siku hizi .
Hawa watu bhana
Waende lumbila iyunga wakaone watu wanaishije huko
Dah iyunga boys my school
Bangi za MTO NzovweHahhaha
Nmecheka kifala
Wanakula na ice cream za ukwaju siku hizi .
Hawa watu bhana
Waende lumbila iyunga wakaone watu wanaishije huko
Dah iyunga boys my school
Dah mzee huo mto nmeogelea sanaBangi za MTO Nzovwe



Mzee unakupata hukoHahahahahhhhh eti lumbila, huchelewi kuwapeleka kwa mwashigala..