Utani mwingine kama ukweli vile; Hebu soma hii

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Plitokea mkutano wa madaktari bingwa kutoka nchi 3, China, Ujerumani na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikio yaliyofanywa katika nchi zao.

Mchina akaanza "kwetu alizaliwa mtoto hana mkono tukamwekea wa bandia, na sasa ni mpiganaji wa karate.

Mjerumani akasema hiyo kidogo... "kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana medali tatu za dhahabu.

Mtanzania akacheka , akasema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu, ...sisi hapo Bagamoyo alizaliwa kijana hana kichwa tukamwekea nazi na sasa ni RAISI...,

ha ha ha mh. Nn?

sitaki kumuudhi mfalme.
napita tu, gnyte jakaya

Back
Top Bottom