Utani mwingine kama ukweli vile; Hebu soma hii

Tuko, usijari huwezi pata Ban maana umesema huo ni utani. Ila unakaribia ukweli, mimi nimeweka kiganja mdomoni harafu nimegeukia upande mwingine nacheka nikimaliza naondoka kabisaa humu.
 
Wee, ifute kabla mbagamoyo hajaiona, nakuonea huruma.

Ni utani jamani... na wabagamoyo watani zangu. By the way Tz kuna maraisi wengi, raisi wa mashobaro, raisi wa yanga, raisi wa twanga pepeta, raisi wa diamondo saundo, maraisi wa serikali za wanafunzi, eeeh... raisi wa nchi n.k. Hata hivyo kwa kuwa anwahaeshimu wote hao, niseme tu hakuna anayehusiana na huu utani...
 
Hapana,ujue hii kitu JF ni moja ya chanzo cha kupatia taarfa juu ya mambo yanayoendelea kitaa,soooo...haya bhana,pia wakat unajrejista kumbuka uliweka email addres yako ambayo ina full majina yakooo!:)
atakujuaje na upo kininja huku?hah hah ha.ndo umeshacoment tayari
 
Hapana,ujue hii kitu JF ni moja ya chanzo cha kupatia taarfa juu ya mambo yanayoendelea kitaa,soooo...haya bhana,pia wakat unajrejista kumbuka uliweka email addres yako ambayo ina full majina yakooo!:)

hawakulazimisha kutumia jina lako mbona.e-mail si unafungua na jina lotote na unakuja kulitumia hapa JF.
 
Back
Top Bottom